Habari wana jf,
Nilikuwa nawaza kwa wale ndugu zetu ambao pombe kwao ni haramu, pamoja na mazao yake yote ikiwemo kipato kipatikanacho na bidhaa hiyo pia ni haramu, mfano.
Kuna msanii fulani alipewa tuzo na watengeneza pombe lakini baada ya kusemwa na watu wa imani yake aliirudisha ile tuzo, pamoja na mifano mingine mingi, nilikua najiuliza inakuaje wanakua comfortable na hawakemei kitendo cha Serikali kutumia mapato ya kodi ambayo baadhi yake yanatokana pombe, pia Serikali imeonesha kutegemea sana kodi kwa bidhaa hii kutokana na kupanda karibu kila mwaka?
Kwaiyo baadhi ya huduma za umma zinalipiwa na kodi itokanayo na pombe. Inakuaje hii?