Hata mi kwangu ilikata matangazo karibu wiki tatu,, nikawapigia,, sasa nawaelekeza ili nanyie muweze kurudisha matangazo hewani,, chukua hiyo rimoti yako ya continental,, bonyeza menu,, utaenda channel manager,, then channel serch,, utaweka password sifuri nne baada yahapo channel zako zitarudi,, ukishindwa nipm nikuelekeze vzr