fred tarimo
Member
- Oct 3, 2011
- 10
- 5
Soma hapa ujue kwanini Continental na TING hawapo hewani, kwa kuwa kampuni ya Kiisraeli ya Spacecom imepoteza mawasiliano na Satellite ya Amos 5 ambayo ndiyo ilikuwa ikirusha matangazo ya TING na Continental. Tusubiri wahamie Satellite nyingine: Spacecom loses contact with Amos-5 satellite.
Habari wanaJamii,
Continental kwa sasa wanarusha matangazo yao kutumia Satelaiti ya ABS 3A frequence 11150, Symbole rate 45000, Polarization vertical, direction 3 degree west.
Njooni AzamTv mmiriki kafulia wa continental
Sio continental pekee, hata TING wiki ya pili sasa hawajafanikiwa kurudisha matangazo
Sio continental pekee, hata TING wiki ya pili sasa hawajafanikiwa kurudisha matangazo