Wenye chuki na UDSM wanavyoongezeka

Wenye chuki na UDSM wanavyoongezeka

TOHATO

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
1,479
Reaction score
5,326
Ndoto za kufika UDSM kwa wanafunzi wa form six huwa ni zaidi ya asilia 98 kwa wanafunzi wote hizo asilimia 2 zilizobaki ni wale wanafuzi amabao hutarajia kusomea mambo ya kilimo na ufugaji kwa SUA na Udaktari kwa Muhimbili.

Cha ajabu wengi wao huaza kukichukia UDSM baada ya usahili kupita ni baada ya kukosa nafasi.

Kwa waliochaguliwa UDSM hongerini na wale waliotemwa na hali waliomba poleni na msijenge chuki kama wengi waliokuwaga kabla yenu maana HAKA KAMCHEZO HAKAHITAJI HASIRA NA UDSM HAIJAWAHI ACHA MTU SALAMA... maksi zako ndo zingekufikisha UDSM ila pole.

Mliochaguliwa UDSM mkija msome na mpunguze sifa sio kuja ku ning'iniza kamba zilizo andikwa UDSM STUDENT hadi Kariakoo.
 
Maneno kama hayo ndiyo kila siku hulianzisha. Subiri waje. Waombaji karibu 33000 wamekosa round ya kwanza sidhani kama hawa vichwani mwao wanafikiria UDSM. Kukosa UDSM hakufanyi watu waichukie , bali zile kajeli "zenu" ndo hurudisha mapigo.
 
Udsm zamani ndugu. Tena wakati hakuna vyuo vingine. Tunawaona huku kwenye kazi. Hakuna tofauti, ni wahitimu wale wale. Wanaofikiri udsm ni that unique waache ulevi wasome kwa bidii. Wasome waache siasa
 
Udsm zamani ndugu. Tena wakati hakuna vyuo vingine. Tunawaona huku kwenye kazi. Hakuna tofauti, ni wahitimu wale wale. Wanaofikiri udsm ni that unique waache ulevi wasome kwa bidii. Wasome waache siasa
Naona wenye chuki na udsm hahahah
 
Yani kuna mtu anasoma Bachelor of arts in education UDSM na still anajiona kaula kuliko anaesoma Bachelor of health system management kule Mzumbe

Na kuna wengine Bora akasome kozi mbovu just kwa sababu iko UDSM ila aache kozi za maana tu kule Muccobs kwa mfano

Na wakija kwenye kilio cha ajira,hawaangalii nani kasoma wapi

Endelezeni hizo mentality ila kuna post college life,hapo ndio tutajua nani hasa ni mjanja
 
Naona wenye chuki na udsm hahahah
Sina haja ya kuwa na chuko ndugu. Nimeshauri tu. Tulisoma hukohuko na sasa tupo mtaani tunaona. Kuna watu tunawachukua kutoka vyuo vichanga wanafanya wonders. Kila mmoja apambane bila kujali yupo chuo gani. Sina haja ya kuwa na wivu, nilishatoka kwenye hiyo level siku nyingi sana.
 
Ndoto za kufika Udsm kwa wanafunzi wa form Six huwa ni zaid ya asilia 98 kwa wanafunzi wote hizo asilimia 2 zilizobaki ni wale wanafuzi amabao hutarajia kusomea Mambo ya Kilimo na ufugaji kwa Sua na Udaktari kwa Muhimbili,,
Chaajabu wengi wao huaza kukichukia Udsm baada ya usahili kupita ni baada ya kukosa nafasi...
Kwa waliochaguliwa Udsm hongerini na wale Waliotemwa na hali waliomba polen na msijenge chuki kama weng waliokuwaga kabla yenu mana HAKA KAMCHEZO HAKAHITAJI HASIRA NA UDSM HAIJAWAHI ACHA MTU SALAMA... maksi zako ndo zingekufikisha udsm ila pole.


Mliochaguliwa udsm mkija msome na mpunguze sifa sio kuja ku ning'iniza kamba zilizo andikwa UDSM STUDENT had kariakoo
Kama unajidanganya kwa jina sawa. Kwa taarifa tu ni kuwa vyuo kama MZUMBE wanafundisha kazi co theories. Iv mtu anaesoma sociology UDSM ni sawa na mtu anayesoma social work pale kijitonyama? Mtu anaesoma PSPA ya udsm ni sawa na wa HRM wa MZUMBE? We kaa na jina lako utashangaa unatoka na GPA ya 3.0 wenzako wana kubwa . UDSM inaharibu future za watu
 
Kitu cha msingi ni kwamba jina la chuo halina uhusiano na maisha yako ya baadae....time will tell
 
UDSM ni moja ya mashirika ya serekali yanayozidi kupoteza mvuto kama TBC,TTCL
UDSM haipo flexible kuendana na kasi ya mabadiliko,mfano mwanafunzi anafundishiw programming kwa kutumia pascal ni aibu

Wanashindwa kuintroduce fani zinazoendana na dunia ya leo

Sijui unaisifia kwa lipi
 
Sina haja ya kuwa na chuko ndugu. Nimeshauri tu. Tulisoma hukohuko na sasa tupo mtaani tunaona. Kuna watu tunawachukua kutoka vyuo vichanga wanafanya wonders. Kila mmoja apambane bila kujali yupo chuo gani. Sina haja ya kuwa na wivu, nilishatoka kwenye hiyo level siku nyingi sana.
 
sawa ulisoma apo UD ila kwa facaty gan!!
inategemeana na facaty uliyosoma bhan!!!!
"Time Udsm"
 
Back
Top Bottom