Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
haitakufaa kibiashara, halafu ni biashara ya MTU. Kijiwe cha kahawa fungua sehemu watu wanaweza kukusanyika kwa wingi tena kuanzia wa miaka 40 maana kidogo ndio walioshika hela tanzania.Mkuu hiyo sehemu ipo wapi nataka nije kufungua kijiwe cha kahawa hapo
hela ndogo sana katika biashara lakini inaweza ikawa kubwa ukitumia maarifa mengi. Hiyo hela igawe makundi matatu kutokana na biashara ambayo unataka kufanya inaruhusu kutokana na mtaji wako.nina laki nne mfukoni nipo maeneo ya mjini. nifanye biashara gani
Sent using Jamii Forums mobile app
hyo Attachment kama vile morogoro maeneo ya ROCK GARDENWatu wote wenye kuitaji ushauri binafsi wa biashara ni pm tufanye biashara kwa garama ndogo. Malipo ufanyika kwa Tigo au mpesa katikati ya ushauri na mwisho wa ushauri. Biashara yeyote natoa ushauri kama kwenye biashara upati Wateja unaotarajia kuwapata, faida ndogo, unaibiwa na mfanyakazi wako bila kujua, upotevu wa mtaji na wateja na jinsi ya kufanya wazo lako la biashara liwenamafanikio na tofauti yani la kipekee. Kwa msaada wa juujuu comment kwenye Uzi swali lako.
Note: kiundani zaidi njoo pm kibiashara
ndio yenyewe mulemule. Karibu tena rockgardenhyo Attachment kama vile morogoro maeneo ya ROCK GARDEN
ndio mkuuHuku ni bure
Sent using Jamii Forums mobile app