Nilishaandika hapa kwamba CHADEMA kiufupi ni CCM-B, na watu kama kina Mnyika ingawa wanaweza kuwa smart, wanaweza kuponzwa na mwenendo wa chama kizima.
Watu wakaona huyo Kiranga tu.
Na kwa kweli haya si yote, kuna mengine mabaya zaidi yamejificha.
Wanaosemana kwa mabaya hawaanzi kwa kuanika mabaya yote kwa kawaida, yale mabaya zaidi hubakishwa vita vikikomaa.
Nahofia kwamba yale machafu kabisa bado hatujayajua.
Weeeh, Mtatiro atakuchapa kwa kumnyang'anya jina lao. Dunia nzima inaijua CCM-B, waache.
Nadhani mtoa hoja tungekupongeza sana kama ungekuja na njia mbadala ya kushugulikia chanzo cha mgogoro ndani ya CHADEMA; ambao kila mmoja anatambua kuwa ni "usaliti" wa ndg Zitto ndani ya chama.
Wewe kama mtu mwenye akili, weledi na busara ni vizuri kushauri bila upendeleo ili kukinusuru chama; ila ni wazi kabisa kwamba dawa pekee ya usaliti ni kutimua.
Huwezi kuvumilia pale unapo hujumiwa. Ushahidi wa kutosha uko wazi jinsi Zitto alivyo tumiwa na wabaya wa CHADEMA ili aue chama.
Kama naye alikuwa na tuhuma dhidi ya Mbowe, mbona kakaa kimya siku zote aje kufunguka leo baada ya kuchinjiwa baharini? Si angeongea mapema akiwa bado na heshima zake ndani ya chama ili watu wamwelewe na kuchangia hoja?
Kumbukeni Zitto analeta janja ya kuku kuwa na nguvu nyingi z kutaka kuruka na kukimbia mara tu akishakatwa kichwa.
Nadhani mtoa hoja tungekupongeza sana kama ungekuja na njia mbadala ya kushugulikia chanzo cha mgogoro ndani ya CHADEMA; ambao kila mmoja anatambua kuwa ni "usaliti" wa ndg Zitto ndani ya chama.
Lissu na Mnyika wamenihuzunisha sana. Hongera zake Halima Mdee, nitampa tena kura yangu akija tena hapa Kawe. Kwa muda mrefu mchanganyiko wa Lissu, Zitto na Mnyika umekuwa na matumaini makubwa sana kwetu wapenda mageuzi. Lkn wote wanepotoka na kupotoshana. Ni pigo kwa demokrasia yetu kwa kweli.
Ni Lazima niseme ukweli kuwa CHADEMA imeyumba mno na kama jitihada za makusudi hazijafanyika basi hiki chama kinakufa rasmi. Haya Madudu ya akina Mbowe yanayoendelea kuanikwa na kutolewa utetezi usioeleweka yananifanya mimi niliyekuwa naichukia CCM nianze kutafakari upya kwani kwa sasa SIONI TOFAUTI YA CCM na CHADEMA (na huenda CHADEMA wanaweza kuwa hatari zaidi). Nimefuatilia kiasi kauli za wabunge wa CHADEMA [ambao ndiyo wanafahamika sana] wakiongea kuhusu swala la Kitila, ZZK, Mwigamba -kwa kweli nimesikitika sana. Nimesikitika kwa kuwa mwanzoni niliwaona wabunge hawa kuwa vichwa ila kwa sasa nawaona viumbe hatari sana. Ukiachilia mbali mbunge Lema ambaye yeye amekuwa haeleweki vema kwenye baadhi ya kauli zake kwa muda mrefu sasa, Mnyika, Mch. Msigwa na Lissu kwa kweli wameharibu CV zao vibaya mno kwa utumbo waliouongea kuhusiana na mgogoro unaofukuta Chadema. Sikuamini mtu kama Mnyika, Msigwa na Lissu wanaweza kussurpot udikteta wa akina Slaa na Mbowe (na wengine wote) wa kuwaona wahaini watu ambao wanamawazo mbadala wa namna ya kumpata kiongozi wa chama. Mnyika ndo niliyekuwa namwamini sana lakini naye kajitosa kwenye siasa za ki-imla hata sijui kwa sababu gani.
Naomba nichukue fursa hii kuwapongeza wabunge na wanachama mahsusi wa Chadema ambao at least wameonyesha akili kwa kukaa kimya. Ndiyo, pamoja na kwamba kukaa kimya wakati madudu yanaendelea ni unafiki, lakini ni heri ukae kimya uonekane una-akili kuliko kuongea ku-support madudu. Pongezi hizi ziende kwa Mbunge Joshua Nasari, Mbunge Halima Mdee, Wakili Mabere Marando, Prof. Safari na wengine wote ambao wamesahaulika wakati wa kutoa maoni haya.
Nilishaandika hapa kwamba CHADEMA kiufupi ni CCM-B, na watu kama kina Mnyika ingawa wanaweza kuwa smart, wanaweza kuponzwa na mwenendo wa chama kizima.
Watu wakaona huyo Kiranga tu.
Na kwa kweli haya si yote, kuna mengine mabaya zaidi yamejificha.
Wanaosemana kwa mabaya hawaanzi kwa kuanika mabaya yote kwa kawaida, yale mabaya zaidi hubakishwa vita vikikomaa.
Nahofia kwamba yale machafu kabisa bado hatujayajua.
Mbowe ameshaset maisha na kujenga contacts za maana dunia nzima..CDM ife isife Mmachame yeye pesa tu... No wonder hypocrisy yake ipo kwenye pesa when it comes to money there is neither principles nor emotions to Mbowe Business is bisoness and politics (na CDM yenyewe) is an extension of business...Watz wakizinduka chadema itarudi kua NGO ya kikanda
msaliti ni mbowe,mmedanganywa kura ziliibiwa kumbe watu wamepiga pesa za mafisadi kama hii haijawavunja moyo kwenye siasa nitawaita majuha
CHADEMA is a time bomb waiting to explode!.
Chama kilisimama kwenye misingi ya ulaghai na kuwaaminisha wananchi kuwa wao ni wapiga vita ufisadi na wakombozi wa wananchi but little known kuwa wao ndiyo walikuwa ni catalyst wa ufisadi kwa sababu chama kilikuwa kinaendeshwa na pesa za 'mafisadi'.
Nilipomuona Mabere Marando na yeye ameingia kwenye majukwaa ya siasa ya CHADEMA akipiga vita ufisadi wakati yeye ni wakili wa mafisadi, basi nikafamu kuwa timer ya bomb la ulaghai wa CHADEMA iko on.
Huu ni mwanzo tu wa mlipuko wa bomu na wajiandae kisaikologia kwa yanayokuja huko mbeleni.
Hahaha, basi CCM-C
Tena inafaa, maana C stands for CHADEMA.