Wenye afya zao

Hakuna afya hapo mkuu! Unene wa kupindukia waweza kuwa nyumba ya magonjwa na si afya.
 
Si makosa yake,bali ni kasoro za kimaumbile na inawezekana hata akikaa mwezi bila ya kupeleka kitu chochote tumboni bado hatopungua kivile.
 
Nimeiangalia hii picha hata cjaielewa,hivi amechutama au amekaa
 
Mbona kakaa ka chura? Amesimamaa, kachuchumaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…