wenye a/c AMANA BANK.

wenye a/c AMANA BANK.

msambinungwa

Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
97
Reaction score
17
Wakuu naombakujuzwa kuhusu amana bank.
1:wanakata sh ngap service.
2:uduma kwasimu nish ngp?na caunta ningap?
naomba mnijulishe.
 
Wakuu naombakujuzwa kuhusu amana bank.
1:wanakata sh ngap service.
2:uduma kwasimu nish ngp?na caunta ningap?
naomba mnijulishe.

Benki inaakaunti aina nyingi, zingine zina makato na nyingine hazina makato. Zenye makato ni kati ya Tsh 800 hadi 7000! Savings akaunti ndio zinatozo ndogo. Kaunta ni tsh 700 tu. Kuhusu huduma ya kibenki kwa simu, aisee ni safi sana na tozo ni Tsh 200 hadi 1000 kutegemea na aina ya huduma. Mimi ni mteja wao, huduma nzuri , uwazi na yenye maadili safi. Njoo tuwaunge mkono.
 
Ni benki ya sharia kila kitu bure

Vipo vya bure na vingine unalipia. Muhimu ni kuwa ni benki ya sharia lakini watu wate wanahudumiwa. Hawa jamaa kwa muda mchache wana karibu kila huduma unayoijua na bei nzuri na haman longolongo katika mikopo.
 
Benki inaakaunti aina nyingi, zingine zina makato na nyingine hazina makato. Zenye makato ni kati ya Tsh 800 hadi 7000! Savings akaunti ndio zinatozo ndogo. Kaunta ni tsh 700 tu. Kuhusu huduma ya kibenki kwa simu, aisee ni safi sana na tozo ni Tsh 200 hadi 1000 kutegemea na aina ya huduma. Mimi ni mteja wao, huduma nzuri , uwazi na yenye maadili safi. Njoo tuwaunge mkono.

nakuja mkuu,a/c zisizonamakato nizipi?
 
Back
Top Bottom