Kamanda baada ya ziara ya wenje Bukoba mjini jana leo wanaelekea wilayani Muleba ambapo watakuwa na mikutano mikuu ya hadhara mitatu kwenye vituo vya muhutwe, Makongora na Ntakatanga. Kesho watakuwa biharamulo kwa siku mbili hatmaye waningia Geita, sengerema, Jijijini Mwanza na kumalizia Ukerewe. naomba kuwasirisha