Wengine sijui wana gundu ama nini???

Wengine sijui wana gundu ama nini???

kipusatembo

Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
88
Reaction score
29
Nimekaa hapa nasikiliza nyimbo za BELLE 9 nkaanza jiuliza maswali mengi sana mwenyewe pasipo majibu........
Kijana anaimba vizuri saana saaana tena mno ila kwa nini hatusui kama nanliu baba nanliu Ma.we Sepeeee.......... Mzee kwa kudesaa??
Ni suala la nyota au mashabiki au kujipendekeza kwa Ge.Ru Mutaaaa au ni nini??? Sielewi mjue???
Hebu mwenye ka-idea na game hii anijuze inakaaje hapo???
 
Chezea wavaa suti wewe

Ahhahah ila nmesikia eti na pale magomeni panahusika saana kuna ustaaaaz pande zile wanaendaga kuogeshwa baharin usiku....... Samahani lakn na naomba kusisitiza NIMESIKIA.
 
hata mi sielewi hii gem inavyokwenda

Yaan nahis kuna wasanii huwa wanaomba Ruuuuuuge adanji hata leo maana jamaa kauweka muziki woote kwenye kiganja chake....... Nmeshangaa juzi Dodoma eti watangazaji wa Tz wakapanda wa Mawingu fm tu....... Yaan yeye anavutiaga kwake tuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom