Wengi wanatamani uchaguzi mkuu uwe hata kesho

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,561
44,753
Ili tudhibitishe kuwa watanzania sio wajinga,ili tupunguze kelele hizi tuangalie maisha. watanzania wanaujua ukweli wote wanajua historia yote tulipotoka,tulipo na tunapokwenda.nyie SI mnadai mna uhakika mnaweza kushindana na kimbunga Cha Magufuli Sasa subirini muone kitakachotokea hamtaamini.ndipo siku hiyo mtagundua kuwa watanzania wengi Wana mtazamo mpya tofauti na mnavyodhani.msije kusema mmeibiwa kura maana CCM itapata wabunge wengi Sana kwa hivyo haitashangaza Rais kushinda kwa kishindo kikubwa.na Kama mna wasiwasi mtaibiwa Basi fanyeni kitu mapema Ili mzuie Hilo jambo.kama hamuwezi Basi muachieni MUNGU.
 
CCM itashinda uraisi, Siuoni upinzani wa kuitoa ccm kwa sasa. Huu ndo ukweli mchungu sana. Hata upinzani unaelewa na nadhani unajiandaa zaidi na laana za hapa na pale badala ya hatua za ushindi. Labda miujiza itokee. Maana miujiza huwa ipo.
 
Tia hili akilini mwako.

Ili tudhibitishe kuwa watanzania sio wajinga,ili tupunguze kelele hizi tuangalie maisha. watanzania wanaujua ukweli wote wanajua historia yote tulipotoka,tulipo na tunapokwenda.nyie SI mnadai mna uhakika mnaweza kushindana na kimbunga Cha Magufuli Sasa subirini muone kitakachotokea hamtaamini.ndipo siku hiyo mtagundua kuwa watanzania wengi Wana mtazamo mpya tofauti na mnavyodhani.msije kusema mmeibiwa kura maana CCM itapata wabunge wengi Sana kwa hivyo haitashangaza Rais kushinda kwa kishindo kikubwa.na Kama mna wasiwasi mtaibiwa Basi fanyeni kitu mapema Ili mzuie Hilo jambo.kama hamuwezi Basi muachieni MUNGU.
 
Ndoto ya saa moja ,hivi wewe unafikiri watanzania wajinga wachague mtu aliyealetea majanga ,na umaskini wa kutupa .Unafikiri watanzania hawajui hali waliokuwa nayo kabla huyu mtu wenu hajaingia madarakani .
 
Wanajua zamani palikuwa na wapiga deal na watumish hewa na Sasa hawapo tena
 
Ili tudhibitishe kuwa watanzania sio wajinga,ili tupunguze kelele hizi tuangalie maisha. watanzania wanaujua ukweli wote wanajua historia yote tulipotoka,tulipo na tunapokwenda.nyie SI mnadai mna uhakika mnaweza kushindana na kimbunga Cha Magufuli Sasa subirini muone kitakachotokea hamtaamini.ndipo siku hiyo mtagundua kuwa watanzania wengi Wana mtazamo mpya tofauti na mnavyodhani.msije kusema mmeibiwa kura maana CCM itapata wabunge wengi Sana kwa hivyo haitashangaza Rais kushinda kwa kishindo kikubwa.na Kama mna wasiwasi mtaibiwa Basi fanyeni kitu mapema Ili mzuie Hilo jambo.kama hamuwezi Basi muachieni MUNGU.
Mbona unaweweseka? Polepole mwenyewe katibu wako anakiri kabisa uchaguzi ukiwa huru na wa haki CCM ijiandae kuachia madaraka, wewe kyuma tu chakula la wana wa Lumumba wewe ni Nani hasa umpinge chakubanga?
 
Ndo hivo Tena CCM itaendelea kutawala labda jaribuni kuandamana mdai huo uchaguzi wa huru
 
Hakuna mtu anatamani uchaguzi mkuu ingewezekana ungeachwa tu hizo pesa zitumike kwa mambo mengine maana uchaguzi ni changa la macho kwa watz hakunaga uhalali wowote rejea chaguzi za marudio yaliyotokea ndo hayo hayo tu, kwa sasa tupo mfumo wa chama kimoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili tudhibitishe kuwa watanzania sio wajinga,ili tupunguze kelele hizi tuangalie maisha. watanzania wanaujua ukweli wote wanajua historia yote tulipotoka,tulipo na tunapokwenda.nyie SI mnadai mna uhakika mnaweza kushindana na kimbunga Cha Magufuli Sasa subirini muone kitakachotokea hamtaamini.ndipo siku hiyo mtagundua kuwa watanzania wengi Wana mtazamo mpya tofauti na mnavyodhani.msije kusema mmeibiwa kura maana CCM itapata wabunge wengi Sana kwa hivyo haitashangaza Rais kushinda kwa kishindo kikubwa.na Kama mna wasiwasi mtaibiwa Basi fanyeni kitu mapema Ili mzuie Hilo jambo.kama hamuwezi Basi muachieni MUNGU.
Hilo liko wazi.Na sehemu watakapoachia watakuwa wameamua wenyewe.
Hakuna opposition inayoweza kusimama na hii hali labda tu yatokee mambo ya miujiza.Hofu ni kuwa kura zisije kuzidi idadi ya wapigaji!!
 
Ili tudhibitishe kuwa watanzania sio wajinga,ili tupunguze kelele hizi tuangalie maisha. watanzania wanaujua ukweli wote wanajua historia yote tulipotoka,tulipo na tunapokwenda.nyie SI mnadai mna uhakika mnaweza kushindana na kimbunga Cha Magufuli Sasa subirini muone kitakachotokea hamtaamini.ndipo siku hiyo mtagundua kuwa watanzania wengi Wana mtazamo mpya tofauti na mnavyodhani.msije kusema mmeibiwa kura maana CCM itapata wabunge wengi Sana kwa hivyo haitashangaza Rais kushinda kwa kishindo kikubwa.na Kama mna wasiwasi mtaibiwa Basi fanyeni kitu mapema Ili mzuie Hilo jambo.kama hamuwezi Basi muachieni MUNGU.
Tayari tumechukua hatua stahiki ... Kwani unafikiri hatujui Siri ya vitambulisho vya wajisilia Mali ????

Tunajua vizuri tu!?? na hatua mliyo fikia tunaijua Kama ni key boards na sisi tunajua kizichezea Ni hapo sasa mtaka po shangaaa na wizi wenu was kitotoooo !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom