Kuna watu humu ndani ya mtandao nadhani wanachuki za dhati na mkuu wataifa letu yani kwakweli wanakera kama sio kukatisha tamaa japo ktk kuandika kwao hawajuwi Mungu anamengi nakulipo kuongea ujinga wanauongea bora wakae kimya maana hawana mkataba na Mungu hivyo wapige kimya.
Kwanza napenda wajuwe kama walivyokuwa hawataki Magu ajekuwa Rais na akawa ndivyo Mungu atamvusha 2020. Nijambo lakifedhuli na kifisadi kumtabiria mabaya mkuu wetu wakati anachokifanya ndicho tulikitaka kwa miaka yote. Nakiukweli kumsema vibaya huyu kiongozi ni ufedhuli mkubwa ndani ya siasa zetu.
Mwisho nilikuwa napenda kuwakumbusha tu wengi ya watu wanatabiri 2020 kuanguka hawatokuwepo kutokana na wivu walio nao maana kiukweli ccm itafanya vizuri kupita wakati wowote ule sasa wajiandae kufa kwa mshituko wa moyo. Pia wewe kama mwana ccm unakitabiria chama chako mAbaya hufai kuwa mwana ccm ni mnafiki.