Acha zinaa na uasherati, hizo mambo ya kondomu ni kuifanya zinaa kuwa halali
Una uhakika na maneno yako??
maamuzi magumu hayo,hata raisi mwinyi alisema gonjwa limetushiika pabaya lol😛ound:😛ound:
Una uwezo wa kuelewa swali?wewe bado mdogo,sikushangai sababu hujawa experienced na mambo ya ngono sana:A S 103:
Kwa majibu ya nilichomuuliza ameonesha hana uwezo hata wakujua swali linahitaji majibu ya aina gani
Unaweza kuulizwa chakula cha ng'ombe ni nini ukajibu gari la kwanza la kwenda Cape town litanaondoka alfajiri saa 11
Utakuwa umejibu lakini sio jibu sahihi na itaonekana hujui hata swali limeuliza nini
Kama hujui swali limeuliza nini hutaweza kujua swali linahitaji jibu la aina gani!!
Ndo huyo jamaa sasa
Nimekuuliza kama ana uhakika na alichosema anajibu mimi ni mdogo na sina uzoefu kwenye masuala ya ngono
Kwanza hanijui hivyo hilo jibu lake ni la kindoto zaidi
Halafu hakuelewa nimemuuliza nini
Mimi sikumuuliza kuhusiana na uzoefu wala umri wangu
Unaona alivyojiingiza shimoni??

Wazee wa povu!Kwa majibu ya nilichomuuliza ameonesha hana uwezo hata wakujua swali linahitaji majibu ya aina gani

Unaweza kuulizwa chakula cha ng'ombe ni nini ukajibu gari la kwanza la kwenda Cape town litanaondoka alfajiri saa 11
Utakuwa umejibu lakini sio jibu sahihi na itaonekana hujui hata swali limeuliza nini
Kama hujui swali limeuliza nini hutaweza kujua swali linahitaji jibu la aina gani!!

Ndo huyo jamaa sasa
Nimekuuliza kama ana uhakika na alichosema anajibu mimi ni mdogo na sina uzoefu kwenye masuala ya ngono
Kwanza hanijui hivyo hilo jibu lake ni la kindoto zaidi

Halafu hakuelewa nimemuuliza nini
Mimi sikumuuliza kuhusiana na uzoefu wala umri wangu

Unaona alivyojiingiza shimoni??
tukifika...
.tunashikana,vuana nguo
tunanyonyana
tuna'tumbukizana
wengi tunasahau kuwa kujikinga ni hatua ya pili,tunavalishana condom baada ya kunyonyana weee na kuambukizana magonjwa,tubadilike AIDS is real:mod:
aisee....!?