Kwa hio jamaa asipo kuchangamsha nao, unaomba urudi kwenu... safi sana :biggrin1:tendo la ndoa ndo kila kitu kwani mimi nimetoka kwetu kufuata nini kwako kwani kwetu nilikua sili au kufanya mambo mengine amboyo yapo kwako na kwetu yapo tendo la ndoa ndo linadumisha ndoa mnyime mkeo unyumba uone weeeeeeeeee itakua balaaa
tendo la ndoa ndo kila kitu kwani mimi nimetoka kwetu kufuata nini kwako kwani kwetu nilikua sili au kufanya mambo mengine amboyo yapo kwako na kwetu yapo tendo la ndoa ndo linadumisha ndoa mnyime mkeo unyumba uone weeeeeeeeee itakua balaaa
ikatokea mume wako akapata maradhi ya ghafla je vipi utaisaliti ndoa yako..?
Ikitokea tu ngoma ikawa hainyanyuki kwa jinsi nilivyoyaelewa maelezo yake ndoa nayo itakuwa kushney...!
ndoa ingekuwa tendo la ndoa, nyumba nyingi sana zingeshavunjika.
kha!!! Kumbe mnajivungaga tuu...wakati mnapenda dushelele hahahaha