Wengi hawatakwambia hii siri kutokana na ukweli ufuatao kuhusu utajiri wa pesa na mali

Huna u-freemason wowote.Sio wewe ambae juzijuzi tu mwezi wa sita ulikuwa unalialia unatafuta mtu akuunge Freemason.

Kuna mawili Ni either unataka mademu wamiminike huko Pm.Au unataka uwatapeli Wakoromije wenzangu

Unadhani tumesahau
View attachment 1184795
Hahaaa umeamua kumuumbua hadharani juu ya utapeli anaotaka kuwafanyajia wana JF, kweli JF ni raha sana
 
Mimi kwa sasa Nina miaka 30 lakini nimehangaika na maisha miaka yangu yote ya huko nyuma kiasi kwamba ikafika mahala nimekata tamaa kabisa

Nakumbuka ilikuwa mwaka 2010 kipindi cha uchaguzi ndo kwa Mara ya kwanza nilianza kusikia neno Freemasonry KIPINDI hicho nikiwa na miaka kama 20 ivi kuelekea 21 lakini kwa kuwa nilisikia juu juu sikutaka kufahamu zaidi wanajihusisha na nini hivyo nilipotezea

Ilipofika mwaka 2017 nilivyo maliza masomo ya chuo nikajikuta nipo mtaani bila kazi afu pesa nikizitafuta hazionekani nilianzisha vibiashara vya hapa na pale lakini vingi niliishia kuvifunga kwa maana sikuwahi kupata faida hata siku moja


Asikwambie mtu na Amini haya nayokwambia uonapo watu wanamagari,majumba ,maghorofa eti wamezipata katika njia nyepesinyepesi najua utapinga lakini ukweli ni big No huwezi pata pesa mpaka uje uingie kaburini kwa kujifanya wewe hujui mambo ya Giza uamuzi wa MTU ni pande mbili

Amini nguvu za Giza upate mipesa

Au usiamini ufe maskini hizo ndo pande mbili tu unayepinga pinga lakini ujue ukweli ndo huo katika watu milioni 1 wenye pesa sana asilimia moja au MBILI tu ndo wanatumia njia halali ila waliobaki hujijua wao na mambo yao


Sina muda mrefu sana japo mambo mengi nimepitia lakini nifupishe kwa kusema uchawi,uganga na freemasoni vipo na vinafanya kazi ya kuwatajirisha watu ili kusudi kuwavutia wengi wadumbukie humo


Nilianza kwa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii na huko YouTube ili kuifahamu zaidi hii jamii ya ki Freemason nilihamasika na kutishwa pia ila nipende tu kusema mengi yanayozungumzwa kuhusu Freemason mitandaoni ni uongo mtupu tena wanaenda chaka kabisa


Kuna njia mbili za kujiunga Freemason njia ya kwanza ni wewe kuwa karibu sana na mungu afu ni mtu mwenye impact katika jamii wewe watakutafuta kwa hali NA Mali yaani watahakikisha wametumia kila mbinu umeingia mikononi mwao na wakiamuaga jambo huwa hawashindwi


Lakini AINA ya pili ni kupitia mwenyeji wa hiko kikundi yaani kuna Namba ya mwenyeji inakupasa uwe nayo au uletwe na mwenyeji moja kwa moja mpaka ofisini kwao na huyo atakuwa kama mdhamini wako


Usijidanganye na Freemason ya kwenye nguzo sijui kapuku nani anaweka tangazo lake eti naunganisha Freemason pumbavu kweli freemasoni haiungwi kiboya hivyo


Safari yangu jinsi ilivyokuwa note nitaeleza juujuu na baadhi ya mambo sitayagusia kutokana na mambo fulanifulani


Mwezi April nilianza harakati za kujiunga na imani hii LAKINI nilisumbuka sana mpaka nilikuja kufanikiwa baada ya misoto mingi sana na hakuna njia hata moja niliyosoma mitandaoni nikafanikiwa kujiungia hiyo ,ilitumika njia tofauti kabisa miongoni ni hiyo hapo juu ambapo wanahitaji mdhamini wako akufahamu vyema kwelikweli unless wamekutafuta wao


Kuna kiapo ,nilikula ambacho kama unamoyo mwepesi weka mbali na watoto yaani kuna maneno serius ya kukufuru hadi unajionea huruma ila mwenye moyo mkuu TU ndo anaweza fikia hio hatua ,kuna vitu unanyweshwa na mafundisho unapewa ambayo yapo stage mbalimbali na baada ya kutoka pale aisee kuna mambo inakuwa umebadilisha kwa asilimia 60%

Mfano : kujiamini kunakuwa kwingi,afu jinsi ya kuweza kunatofautiana asilimia mia moja na mwanzo,huruma inakutoka,afu unakuwa unajihisi very smart pia zawadi kemkem unapewa na baadhi ya logo na alama ambazo unaelezwa jinsi ya kuzitumia katika kukuza imani


Aisee pesa IPO ila duuh usiombe uingie huku hakuna mlango wa kutokea na utakuwa traced everywhere na bora kama unampango wa kuingia fikiria Mara mia zaidi ili usijejutia maamuzi yako

Lakini kwa ufupi hii society ndo inarun dunia na kila vikorokoro vya kushangaza hawa jamaa ndo operator wana kila idara na kila kitengo kipo very serius

Sio wachungaji
Sio wasanii
Wanasiasa
Wafanyabiasha
Viongozi mbalimbali nimewaona huko hadi wengine ukiwa nje huku huwezi kuwadhania kabisa

Wana msemo wao kuwa kuwa tajiri ni uamuzi sio majaariwa


Niliteseka sana nikiwa nje ya mfumo ila kila jambo na mwisho wake
Huo utajiri unakusaidia nini wakati roho yako ushamuuzia shetani. Wakati wowote wanakuchukua ukateseke milele. Pesa sio suluhisho la maisha wakat unakufa mda wowowte usioujua. Cha msingi mche muumba wako.Mungu ndie atupae nguvu ya kupata utajiri sio freemason waganga wa jadi tu hao.
 
KUMBUKUMBU LA TORATI 8:18.

"Bali utamkumbuka BWANA, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo."
Huo utajiri unakusaidia nini wakati roho yako ushamuuzia shetani. Wakati wowote wanakuchukua ukateseke milele. Pesa sio suluhisho la maisha wakat unakufa mda wowowte usioujua. Cha msingi mche muumba wako.Mungu ndie atupae nguvu ya kupata utajiri sio freemason waganga wa jadi tu hao.
 
lipia tangazo mkuu, umeona la kwenye nguzo halina wateja unakuja na huku sio eeeenh?? tumekusoma
 
kwa hiyo wewe hapo una pesa!!? teh teh teh teh teh teh, GTs oneni huyu freemasoni wa awamu ya tano anavyoisoma namba mpaka
 
katika watu wameongea point juu ya kujiunga freemason ni wew pekee,,sijawahi ona mtu kapita right track kama wewe...mi nakuamini asilimia mia,,,,,,NB;UKIWA freemason manake umeuza nafsi yako moja kwa moja in exchange of money and power.......
 
kuna siku apa vijana kama utani nikawaambia mi nna no ya freemason na nafasi ni moja,,wapo waliobeza,,ila watatu walikuja pm..nikampa no mmoja,,Wervemarcel ebu waletee mrejesho nlivokupa no ya fremason wa arusha..maana nikikupigia cm hupokei...but nlijutia sana uamuzi wa kukupa no maana kama umeshajiunga nafsi yako ntadaiwa..ila ubishi na u-tomaso ndo ulikuponza,,,,,lete majibu ikawaje maana nakupigia hupokei
 
kuna siku apa vijana kama utani nikawaambia mi nna no ya freemason na nafasi ni moja,,wapo waliobeza,,ila watatu walikuja pm..nikampa no mmoja,,Wervemarcel ebu waletee mrejesho nlivokupa no ya fremason wa arusha..maana nikikupigia cm hupokei...but nlijutia sana uamuzi wa kukupa no maana kama umeshajiunga nafsi yako ntadaiwa..ila ubishi na u-tomaso ndo ulikuponza,,,,,lete majibu ikawaje maana nakupigia hupokei
We unakuaje na urafiki na ao
watu
 
Nauliza kwa mleta mada na wengine pia wanaojua hv ni kwann waafrica wengi wakijiunga na hao wajenzi huru wanakufa mapema mfano kanumba na wengine wengi huko ulaya mambo ni tofaut watu wanaishi miaka mingi zaidi tatizo ni nn maana hii ni sababu ya watu wengi kuogopa kujiunga na huu ufalme pia kutoa kafara ni kila baada ya mda gani..au Inategemeana na kiwango cha utajiri unaoutaka?? Nikiwa na maana kwamba kuna utajiri ambao hutoi kafara nk.??!!
Kanumba alikuwa Freemason kwa ushahidi upi ?
 
Hii inathibitisha kwamba muda umekwisha, juzijuzi katika kusomasoma gazeti la club ya simba nilikitana na matangazo zaidi ya sita ya kujiunga na huo ushetani waziwazi.. shetani anatambua kabisa kwamba hana tena muda mrefu, hivyo anakesha usiku na mchana kutafuta wanachama watakaomsujudia ili kuwapoteza milele, tamaa ya kuwa na mali isikutenge na Upendo wa Mungu..
 
Back
Top Bottom