Mkuu Papa Mopao, suala la kupima na kukjua afya ya mtu linakua na maana pale tu mnapokuwa mmepima mara tatu baada ya miezi kila baada ya miezi mitatu halafu kila mmoja akawa mwaminifu kwa mwezake. Unaweza kwenda pima kumbe mwenzi wako amepita sehemu mbaya siku tatu zilizopita, hivyo virus hazitaonekana ukadhani mko salama na kuingia kwenye mechi bila dalugha. Kwa mantiki hiyo, majibu ya (-) yanakuwa na maana wakati mkiwa pale pale Angaza, baada ya kutoka kule na kila mmoja kwenda zake mnaweza kukutana baada ya siku mbili majibu yale yakawa hayana maana tena. Ni vizuri kama mkiambiwa kule Angaza kuwa mko salama, omba uwanja hapo hapo mcheze bila dalugha.
ku2mia kondom ni jambo ambalo linahitaji uvumlvu .ni vyema kukumbusha ktk ku2mia kondom coz stimu zikipanda baada ya maandaliz unaweza ku format Kitu kichwan.