Enzi zake akiwa kocha chipukizi, ilikua kawaida kwa Wenger kuwasha ka fegi pale mechi ilipokua inamuendea vibaya..sikuizi kawaida yake ni kupiga mateke chupa za maji..
Wakina Jack Wheelchair na Giroud watakua wameiga mafano hapa..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.