Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Lara 1
leo umelatikana duuh! Pole yako mimi hata siwajui wema wala zari nawasikiaga tu kwenye nyimbo na udaku

HAHAHAAAAAAA! Mimi kupatikana badooo. KUNA MTU AHSREPOST INSTA HUU UHAURI, SOON WEMA ATAUSOMA. So just matter of time.
 
Hio nayo kasorooo, WEMA HAJAZOEA KUFUGA MABWANA KAMA WATU FUDENGE HUMU. HAHAHAAAAAAAAA!
Aaah wapi kilichotokea anajua mwenyewe na kama hajafumwa sijui tu make it seems Jamaa ndo kamwaga kuna siku wema kamuomba samahani mtandaoni sijaona reply ya jamaa
 
Mara kibao tu kishasema alitoa mimba ya kanumba na sababu ya kutoa alisema alikua mdogo lol hiyo mimba ya kumuingia mtoto mdogo ni kiboko

WANGAPI MIMBA WANATOA??????? WAKE ZA WATU WENYEWE MABINGWA WAKUCHOROPOA ZA WAUME ZAO COZ UCHUMI HAUJAKAA VIZURI. Itakuwa Wemaaaa? Na kama anayo ingine AKATOE HARAKAAAA.
 
Aaah wapi kilichotokea anajua mwenyewe na kama hajafumwa sijui tu make it seems Jamaa ndo kamwaga kuna siku wema kamuomba samahani mtandaoni sijaona reply ya jamaa

TUNAFUGA VIJIBWAAA TU, HATUFUGI MABWANAAAA! Mpo hapo? Wenzie wanunue Morrano, Range yeye alete FREE P, KWENDRAAAAAAAAAAAA!
 
Ahahaha kujitoa ufhmu saa nyingine raha sana!hapo rala1anainjoy watu wanavyopanick

Ngoja nilale mie
Usilale bwanaaaa, yule bibie OMUKWANOO atakosa wa kumtetea. Mungu mwenyewe alishasema usimnyanyase MGENI najitoa ufahamu tu.
 
SI WATU WA MUNGU BWANAAA, Tunakemea tabia ya UBEMENDAJIIIIIIII VITOTO! Eee Mungu niepushie kizazi changu kima cha BIBI hili, yasije kumkumba mwanagu. Mungu wewe ndo muweza ya yote, waepushe wanangu kabisaa na mibibi iliochikaaa, imezeeka na kubemenda watoto wa wenzao.
Ila utoaji mimba tuisifie kwa jina la huyo Mungu wako sio?.Mi sijui miaka ya Zari na wala sio mshabiki wake ila kiukweli yule mama yuko vizuri na kuzaa kote kule utadhaniaga ndo ana miaka 18 vile, Wema ndo anaonekana bibi
 
UZEE NI HAZINA YA MUNGU KWANINI HAMUUTAKI? Mbona mwenzenu nakubali tu kirahisi im 40 yrs? HAHHAAAAAAAAAAAAA!
 
TUNAFUGA VIJIBWAAA TU, HATUFUGI MABWANAAAA! Mpo hapo? Wenzie wanunue Morrano, Range yeye alete FREE P, KWENDRAAAAAAAAAAAA!
Unamaneno we dogolasi ni hatareee,am enjoying this show down,eventually you will emerge the winner as usual. they cant you.
 
WANGAPI MIMBA WANATOA??????? WAKE ZA WATU WENYEWE MABINGWA WAKUCHOROPOA ZA WAUME ZAO COZ UCHUMI HAUJAKAA VIZURI. Itakuwa Wemaaaa? Na kama anayo ingine AKATOE HARAKAAAA.
Hatuongelei wangapi tunamuongelea wema na nlikua nakukumbusha kuwa alishasema katoa mimba na sababu ya kutoa akasema, kwa kuwa dhumuni ni Kumshauri basi ushabiki weka kando
 
Akili yako fupi kama kia la mbuzi. Mwenzako anakesha kwa waganga apate kuzaa, we kwa ufinyu wa akili unajitahidi kuharalisha ugumba!!! Kwa taarifa yako Wema umri umeshamtupa pia, anahaha kupata mtoto mpk anajaza mitambala tumboni lkn wapi...mambo hayaitiki!!! Badala ya kumsaidia unazidi kumpoteza!!!! Kuzaa ni tunu (zawadi) ambayo kila mwanadamu (hasa kwa umri kama huo wa Wema) anaihitaji mno. Kitendo cha kushindwa kupata mtoto kwa age ya Wema ni tatizo kubwa zaidi ya hivyo ufikiriavyo.

HAHAHAAAAAAAA! Kimba la mbuzi refuuu, kimb la ndege ndo haswaa ufupi wa akili yangu. Huo umri wa 27 ndo umemtupaa? HAHAHAAAAAAA! Waswahili kweli mna kazi. Rihanna mwenyewe 27 hajazaaa itakuwa Wema?

KUZAA KWENYE NDOA NI TUNU NA BARAKA! KUZAA HOVYO NI DHAMBI KUBWA SANAAA, MPAKA VITABU VIMEWAHARAMISHA WALE WATOTO KUWAITA WANA HARAMU!

KITNDO CHA WATU KUZAA WATOTO HARAMU NDO JANGA LA KIDINI NA KIJAMIIII HUSUSANI WALIOKIMBIA NDOA ZAO, KUJA KUZAA NA KUBEMENDA VITOTO VIDOGO
 
Hatuongelei wangapi tunamuongelea wema na nlikua nakukumbusha kuwa alishasema katoa mimba na sababu ya kutoa akasema, kwa kuwa dhumuni ni Kumshauri basi ushabiki weka kando

Wewe ndo huongelei wangapi, MIMI NAONGELEA JAMII KWA UJUMLA, na kijamii KUTOA MPAKA WAKE ZA WATU WANATOA ZA WAMAUME ZAO WAKIKOSEA MAHESABU YA KIUCHUMI. Hio yote kujenga familia imara, HAHAHAAAAAAAAAA!
 
Hao wanaomwita mgumba ukipitia akaunti zao huruma.....

Yaani watukanaji wa insta(haijalishi wanamtusi wema au msanii mwingine) wengi wao wanashangaza sana...kuna vitoto...kuna vijitu vizima hovyo...kuna wengine aibu hata kuongea
 
Back
Top Bottom