Mmmhhh hili balaaaa
geree tu
Sijakuelewa ujue.
Hahahah mpaka akueleweshe
Embu fikiria alivyonzalilisha kwenye simu,jukwaani magazetini,sporah show.
Katembea na mashosti wake wote.
Haya toka awe naye hana hata dollar.
Kafulia mbaya mwenzake anapanda tu.
Huyu wwma sikio la kfa.
#mwenye kiranga haliliwi.

Yani mama ubaya anajionaga yeye ndo yeye.Yani silipendi basi tu
He he nami nineoina halafu nkacheka sana.
Alichezea bahati aone wenzie wakina klyn wanachuna hasa.
Sasa hivi anashusha bonge la shule BADILI TABIA andaa hela umpeleke dogo shule ya mama nalia kwa furaha.
Angemchuna ck tu afanya vya maana hata kiwanja giba cha 500k hana.
Kakalia my baby baby.
He he he mama ya OBAGI.
Mama ya mashauzi yanahitaji hela.
Aibu yake
He he nami nineoina halafu nkacheka sana.
Alichezea bahati aone wenzie wakina klyn wanachuna hasa.
Sasa hivi anashusha bonge la shule BADILI TABIA andaa hela umpeleke dogo shule ya mama nalia kwa furaha.
Angemchuna ck tu afanya vya maana hata kiwanja giba cha 500k hana.
Kakalia my baby baby.
Aibu kwani kidogo
Mtu mzima unapewa za uso...
Sema mshipa wake wa aibu umekatika yule....
Usiniambie anashusha shule...
Acha nizichange aisee
Huyo ndo mwenye akili... hakutaka kuhangaika na masharo uharo wangemzeesha tu buuuure
Mama ndomo angetulia na ck amchuneeeeee hata kesho na keshokutwa angekua na pakuanzia...
Anyway zile wema products ni za nani? (Sabuni na disinfectants za kusafishia tiles na choo) nilipoziona nikahisi za mrs ndomo ila sidhani kama ana akili hiyo...