Wema Sepetu alitrend mpaka nigeria kwa vazi lake linaloonyesha umbo lake la CURVE, japo watu wanahoji ni shape yake,maana haikuwepo mwaka jana imetokea wapi. je ni mchina?
Wema Sepetu alitrend mpaka nigeria kwa vazi lake linaloonyesha umbo lake la CURVE, japo watu wanahoji ni shape yake,maana haikuwepo mwaka jana imetokea wapi. je ni mchina?
Ni shape halisi ndiyo maana kaimbwa na mtu aliemuona akiwa 'naked'...."Sura zari zarina shepu sepetu wema" .... sasa nyie mmemuona kwa mbali maneno yanawatoka
Hivi mwanamke Tz amebaki yeye tuuuuu!!!!!? kila siku Sepengaaaa Sepengaaaaa... Hakuna mwingine wa kufunika haya matapingwaaaa jamani... wanawake wa jf kuringa kote huko kumbe hakuna kitu!!!!!