Ivan atamtumia wema kupunguza nyege tu,ivan ana mke pia anaitwa sharon,, piga ua tutasikia mengi na huyo dada mtu kwa kujipendekezaaa sasaa kwa wema khaaa!!
Tatizo anapenda kujiona na kujieka juu yeye na kuona hafai kupitwa kwa lolote ambalo ni wrong sababu hana kazi ya maana wala biashara
Hizo lipstick zisije Kuwa kama alivyofungua kampuni kwa mbwembwe na party afu muvi zikaenda na tsunami
Huyu dada anapepo lakupenda kukaa bila kujishughulisha kama binadamu wengine anataka kupanua mapaja kisha apewe mshiko mrefu
Tafsiri ya hilo neno kuDATE please, coz mnapokuja na habari kama hizi mnanifanya hata nikiona kuku (jogoo na mtetea) wanavyokimbizana na kuDO hovyo hovyo niseme nao wanaDATE.
Wema ni Dada anayejitambua sana.
Hata ka orodha kake kanatia moyo.
Mr. Blue.
Mnyama.
Platnumz.
Mdingi asiyejulikana.
Baaaaaas hawa wengine hawajahakikiwa ki utaalam manenomaneno tu.