she likes publicity....aliwahi kusema hivyo kwenye mkasi na Salama Jabir, no wonder ideas zake nyingi ni ujinga tu...just for the sake of publicity i suppose!
Hivi, lile jumba lake na Zamaradi liliishia wapi???[/QUOTE
ile nyumba ni ya kupanga!! yaan mi sielewi kwa mtu mzima mwenye akili zake anakaa anadanganya jamii nzima kitu kisicho chake