Jakaya Kikwete sasa hivi tunaweza kusema is a seasoned politician.
Amepitia mengi, mazuri na mabaya.
Ingawaje urais wake watu walidiriki kumwita ati dhaifu, ndani ya hii miaka mitano wananchi wameona maana ya uvumilivu wa Kikwete.
Nampongeza sana Kikwete vile vile kwa kumpigia tafu Mama Samia, dhidi ya makundi hasi, mengine yakiwa na sura ya kikabila.
Sisi wana CCM long time tunashukuru kuwa sasa chama kinarudi kwa wenye chama ambao wengine ni waasisi.
Mimi kadi yangu ni ya 1977.
Waliingizwa watu ambao wengine wametoka vyama vya upinzani na kuwaacha makada halisi.
Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]May Mwendazake's soul rest in whatever state God deems him fit and to never ever be another leader like him again. Ameeeen.
Mlikuwa mnachekelea kama hamna akili nzuri....Mafisadi mnafurahisha kweli kweli
Mkuu mimi adui wangu maonezi ya TRA, najitegemea.Nenda kapumzike kwenu Kyela ukale mbasa, umeanza mapambio ya Vasco Dagama unafikiri atakurudisha kwenye ulaji? Ulile kako!
Watafikiriwa
Nyumbu bwana!Angalia hiyo profile picture uliyoweka hapo utaelewa maana yake ndio nini
Ukiwa JIZI na MUUZA NGADA lazima ushughulikiwe!Mlikuwa mnachekelea kama hamna akili nzuri....
Watu wakitekwa na wasiojulikana......
Watu wakiibiwa fedha zao na TRA...
Watu wakinambikwa kesi za uhujumu uchumi...
Watu wakibambikwa kesi za madawa ya kulevya.......
Watu wakiuwawa halafu polisi inasema wamejinyonga.....
Watu wakinyang’anywa kampuni zao.......
Vyombo vya habari kupokwa kutoa habaro (not to this extent.......
Ukabila wa vyeo..
Ukabila wa maendeleo....
Halafu bado unakenua kujiita mnyonge.
Akili kumkia wewe!
Naongea yale ninajua tunabaguliwa kwa barabara Mbeya.Wewe huwa mbinafsi sana na Mbeya yako
Hata kama alikopa kazi imeonekana ,wengine walikopa pesa ikaishia kuwanufaisha wao na familia zao, pia aliweza kukomesha yale mambo ya unanijua mimi nani au Rizi kapiga simu.Mwendazake kakopa hela nyingi kuliko watangulizi wake wote waliopita unalijuwa hilo?
Vita vya panzi; sherehe ya mwewe.Jakaya Kikwete sasa hivi tunaweza kusema is a seasoned politician.
Amepitia mengi, mazuri na mabaya.
Ingawaje urais wake watu walidiriki kumwita ati dhaifu, ndani ya hii miaka mitano wananchi wameona maana ya uvumilivu wa Kikwete.
Nampongeza sana Kikwete vile vile kwa kumpigia tafu Mama Samia, dhidi ya makundi hasi, mengine yakiwa na sura ya kikabila.
Sisi wana CCM long time tunashukuru kuwa sasa chama kinarudi kwa wenye chama ambao wengine ni waasisi.
Mimi kadi yangu ni ya 1977.
Waliingizwa watu ambao wengine wametoka vyama vya upinzani na kuwaacha makada halisi.
Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.
Nilikuwa kama wewe!Kikwete huyu mtu bhana , daah Mungu ampe maisha marefu Sana Sana ... Nilimchukia Sana by 2015 Ila Kwa sasa nimeona thamani yake kabisa kabisa.. sometimes huwa tunajifunza Kwa Gharama kubwa Sana
Mgeni huchukuliwa mkuu kuliko mwenyeji, kwa heshima.Protokali ilikiukwa...! Kwa nini Rais wetu enzi hizo alivishwa tai ya bluu badala ya nyekundu? Mh Job Ndungai nadhani anaweza kutoa ufafanuzi.
Joshua NasariKwahiyo sasa wale waliojiuza kwa bei rahisi na ahadi zao za vyeo hazikutimia inakuwaje ?
Vipi wasiojulikana walikuwepo?Ngoma droo!!
Tupo tunaoamini mpaka Leo, kikwete hawezi kabisa kuifanya nchi ikaheshimika hata kidogo, afanyeafanyavyo,amebarikiwa tu kuwa na moyo wa kupuuza mambo, lakini kuiongozi ni zero kabisa
Siwezi kusahau kipindi chake, ilikuwa ni hovyo tu, hakuna la maana, la maana ni Kwa hao waliofaidika na safari zake
Unampenda jiwe kwa kubambikia watu KESI nakuwapoteza?kumbuka watu hawakuipenda ccm, walimpenda JPM, mm mmoja wapo. kipindi cha JK na mkapa sikuwahi kukipenda hicho chama kwa ufisadi na ubibafsi wake
Vipi nyakati za jiweSio walidiriki kusema ni dhaifu serikali yake twiga walisafirishwa , madini tuliibiwa kwa kiwango Cha juu viongozi walijikimbikizia mali kupita vipindi vyote.