Welcome Ulimwengu and 4 other Bloggers!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,266
Reaction score
44,691
I'm delighted to welcome in our midst:

Mr. Jenerali Ulimwengu
Mr. Orton Kiishweko
Ms. Salome Gregory
Mr. Finnigan wa Simbeye and
Mr. Eric Kabendera
Ms. Fausta Musokwa

The Splendid Quintet will be contributing opinions on various issues of importance to Tanzanians through the blogging section upper right corner. Below is the short introduction by Mr. Ulimwengu of this new phenom that in my humble unsolicited opinion will bring JF to a whole different level. Please visit them, welcome them and make sure u do not miss their blogs. I for one will definitely not miss the articles.

Karibuni sana

I always appreciate the work of Jenerali!

Ila mwanakijiji, sikuwahi kukaribishwa hivi, what was wrong?
 
Asante. Huyo mdau wa Lindi naomba atembelee vijiji hivi katika Wilaya ya Kilwa: Migeregere. Mavuji, Nainokwe na Liwiti. Akimaliza atembelee vijiji vingine vinavyopakana na hifadhi ya Selous. Kuna mambo mengi tu huko.
 
Karibuni sana

I always appreciate the work of Jenerali!

Ila mwanakijiji, sikuwahi kukaribishwa hivi, what was wrong?

ulikuwepo kwenye network ya wanaotaka kublogu.. ukitaka kujiunga na kundi hilo hapo juu wasiliana na Jenerali.. nawe utakaribishwa kwa mikono miwili.. LOL
 
Asante. Huyo mdau wa Lindi naomba atembelee vijiji hivi katika Wilaya ya Kilwa: Migeregere. Mavuji, Nainokwe na Liwiti. Akimaliza atembelee vijiji vingine vinavyopakana na hifadhi ya Selous. Kuna mambo mengi tu huko.
Naamini amekusoma; natamani kupata videos za watu wa huko πŸ™‚
 
Naamini amekusoma; natamani kupata videos za watu wa huko πŸ™‚

Mabloga hao wana mshiko wa Tanzania Media Fund, natumai watakupatia video - hasa za vile vijiji vya wanyama...
 
Niliwahi kumwandikia Invisible kuuliza namna bloga anavyoweza ku-integrate blog yake na section ya blogs hapa JF.Nilielezwa kuwa ningepatiwa maelezo zaidi baadaye lakini haijawa hivyo hadi leo.Labda nitumie fursa hii kuuliza tena swali hilo.
 
Mkuu check you PM :A S tongue:
 
sasa watanganyika tujiunge katika mtandao huu na tutumie mtandao huu kuikomboa tanganyika yetu waliotuachia waingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…