Welcome to K.I.U

Meddy Rajabu

Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
35
Reaction score
23
Kwa wanafunzi wote waliochaguliwa na NACTE na TCU ili kujiunga na chuo cha kimataifa cha Kampala, napenda kuwakaribisha saana chuoni hapo..

Chuo kipo Gongo la mboto mwisho, mazingira ya chuo ni mazuri kwa kujifunza pia kuna walimu waliobobea katika ufundishaji,

Kwa wale wanaohitaji huduma za hostel zipo za kutosha, na vyumba vya kupangisha pia vinapatikana kwa cost ya shs 50000, 45000, 40000...n.k, mwenye uhitaji wa chumba, hostel au maelekezo yoyote kuhusu Kampala University tutafutane kwa namba. 0719568659... au 0654754516..Kampala is the home of hospitality.
 
Labda sasa hivi lakin walikuwa wanazoa tu mtu ana D 2form 4 kiu wanamchukua bila tazizo hadi kinaonekana kinasomesha vilaza, labda sasa hivi kwa huu mfumo wa kuombea nacte na tcu
 
wewe ni dalali wa vyumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…