Welcome Tanzania Utalii Dialogue

Welcome Tanzania Utalii Dialogue

Joined
Jul 26, 2016
Posts
8
Reaction score
6
Tanzania Utalii Dialogue ni asasi ambayo inalenga kutoa elimu kwa jamii kuhusu vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania. Tuna andaa mijadala, midahalo na safari mbalimbali za kujifunza vivutio vyetu Tanzania. Karibu tukadiliane kuhusu Utalii wetu.

Je, nini kifanyike kukuza Utalii wetu, ukiwa kama mjumbe wa nchi ya Tanzania?? [/URL][/IMG]
 
Tuanze kutangaza vivutio hata kule mikoani siyo kila siku mlima Kilimanjaro tu kana kwamba hii nchi ishu ni mlima tu. Twendeni mikoani ili kuleta usawa wa kipata hata kwa mikoa mingine
 
Back
Top Bottom