Sijajua hata kinachonichekesha. Hongera mwaya.
Baada ya kijana kupigwa na jua muda mrefu sasa amepata barafu wa moyo tulizo la moyo anayefanya nikamilike bila yeye bado mimi ni nusu I real love her Angelicious come this way mama wakuone najisikia faraja kuwa na wewe njoo nikuonyeshe nini maana ya mapenzi wala hautajutia uamuzi wako wa kuja kwangu,najua wengi hawatafurahi ila itabidi walazimike tu maana hawana jinsi tena,I LOVE YOU,Jamani Bantu lady ,'valentina' ,njooni mumuone wifi yenu, rafiki yangu pacha wangu Rich Pol ndugu yangu mwenzio nimeondokana na ubachela nawengine ila tafadhali msije mkamwagia kitumbua changu mchanga maana wengine hamna roho nzuri kwa kweli
wow karibu wifi Angelicious, hongera best yangu Daudi1. Mimi na mume wangu Sungura1980 tunawatakia mapenzi tele yenye raha na furaha.
Uvumilivu mwingi, all the best.
Bantu lady hebu jaribu kumuondole upweke baba paroko
Naona watu wanaangukiana tu!!
wow karibu wifi Angelicious, hongera best yangu Daudi1. Mimi na mume wangu Sungura1980 tunawatakia mapenzi tele yenye raha na furaha.
Uvumilivu mwingi, all the best.
Ingekuwa kabla ningekuondolea baba paroko, ila sasa ni ngumu nimeshatubu kwa mume wangu Sungura1980 kuwa sitamtenda vibaya tena.
Ndoa tamu baba paroko.
Ndo umeamua kunitosa??????????
Nimeona una majukumu mengi sana ya kanisa mpaka ukawa unasahau majukumu yako ya kifamilia
Asante wifi yangu nashukuru kuingia kwenye familia yenu