Wekeza pesa kidogo kidogo upate gari ya ndoto yako

Wewe ni Muongo....biashara ya IMPORT ZIPOM..SIO KILA MTU ANAYETAKA GARI KUAGIZA ANA SMART PHONE NA HATA AKIWA NAYO SI KILA MTU ANAJUA PROCEDURES ZOTE ZA KUAGIZA MAGARI NJE...NA KUAGIZA MAGARI SIO RAHIS KIHIVYO KWA KILA MTU...KAMA WEWE UNAWEZA SIO WOTE...AU UNATAKA ASIYEWEZA ASIAGIZE AU AKUFATE WEWE KILOCAL LOCAL TU ILI UMUAGIZIE? WATU WAMEKAA , WAKAPLAN, WAKASAJILI OFISI...WEWE UNALETA CRITICS ZISIZO NA MACHO.
KUHUSU KUONGEZA BEI SIO KWELI LABDA MIJITU YA MITAANI ...LKN MUAGIZAJI BORA HUJADILI KILA KITU NA MTEJA WAKE...WAKIFIKIA MUAFAKA WATAFANYA...NIJUAVYO MIMI MTEJA YEYOTE HUWA NA ASSUMPTION YA BEI YA BIDHAA ANAYOTAFUTA...SIO RAHIS KUAGIZA IST YA 10M KWA 12M , JAPO TUNAJUA BEI ZA IST AU GARI YOYOTE HAZIWEZI FANANA HATA KAMA NI AINA MOJA..SABABU KUNA ASPECTS NYINGI.

NIMESAIDIA KUWEKA SAWA...NIKIWA NI MMOJA WA WAAGIZAJI WA BIDHAA NJE.
 
Nimependa sana huduma yako, binafsi nina imani na nyie sana, kwakuwa nina ndugu yangu mshafanya nae bihashara mara mbili sasa.
Nitawatafuta hili niwekeze mdogo mdogo.
Ninyi mna anzisha mazingira ya kutapeli watu? Unataka kuingiza watu mkenge, hahaha
 
Ingekua vizuri mngekua mnampa mtu gari kwa mkataba au mnaiagiza kabisa inabaki yard kwenu akifikisha nusu au robotatu ya pesa mnamkabidhi gari kwa makubaliano maalumu.
Iyo mnayofanya kwamba mpaka pesa ikamike ndio mnaagiza gari ?
mimi kama businessman naelewa kwanini hawafanyi kama unavyotaka iwe.. sababu kubwa ni kuogopa mdaiwa kushindwa kumalizia deni uchumi wake ukiyumba halafu ukute gari ameshaichakaza. pili mdaiwa anaweza akapata ajali akafa yeye na hio gari. hakuna anaetaka kufanya biashara kichaa, yenye hasara, so wanajaribu kuepuka unnecessary risks kama hizo.
 
Do you pay Interest??

Utawezaje kukaa na pesa za watu bure bure ,
Kwann msifanye collaborations na Bank yoyote waandae product itayowawezesha watu kusave kwa ajili ya lengo hilo?

Kampuni yako ikifa kesho tutakupata wapi? Ama umewekwa utaratibu wa waliokua wakisave kupata fedha zao .
Maana hujalizingumzia hilo
 
Haha wazee wa chajuu Mimi Mbona naleta gari bila ya chajuu na nafuu kuliko sehemu yoyote Zanzibar na Tanzania
 

Mi mtu yeyote anayekunywa beer atunzi hela yangu, ikifika ijumaa saa 9 wanakuwa kama wamechanganyikiwa wanawaza beer tu!
 
Piga Kazi mkuu hata kama Kuna chaguu muhimu furaa pande mbili
 
Kweli kaka Mimi nawaletea gar watu from Dubai nanunua mnadani Kabisaa, price znatgemea na si kaz nyepes Kama jamaa alivo sema
 
bank wanaofa hizo services labda wewe ndo haufahamu. kusev bank inasaidia zaidi kwasababu hela inakua more secure, haipo tied na unaweza kuitoa mda wowote. faida ya kulipa kidogokidogo direct kwenye kampuni ya magari ni inakutia ujasiri wa kuendelea kulipa na si rahisi kuidraw hio hela kama ilvo rahisi kuidraw kwenye ATM.
ubaya wa kuisev bank ndo huo, mda wowote ukijiskia unaweza kwenda kuichomoa, huwezi kufikia malengo namna hii.
 
BMW x6 Bei gani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…