0653400400 Senior Member Joined May 13, 2018 Posts 124 Reaction score 38 Jul 14, 2018 #1 KWANINI WANAWAKE WENGI WANAOTAFUTA WACHUMBA JAMII FORUM HAWAWEKI PICHA ZAO?
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,072 Reaction score 108,752 Jul 14, 2018 #2 Weka yako tukuone kwanza..
joely sandu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2017 Posts 1,962 Reaction score 1,819 Jul 14, 2018 #3 0653400400 said: KWANINI WANAWAKE WENGI WANAOTAFUTA WACHUMBA JAMII FORUM HAWAWEKI PICHA ZAO? Click to expand... waweke picha Ili ugundue nini !
0653400400 said: KWANINI WANAWAKE WENGI WANAOTAFUTA WACHUMBA JAMII FORUM HAWAWEKI PICHA ZAO? Click to expand... waweke picha Ili ugundue nini !
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 17,464 Reaction score 67,457 Jul 14, 2018 #4 Kwa nini waweke?
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,891 Reaction score 42,019 Jul 14, 2018 #5 ngoja waje waweke
0653400400 Senior Member Joined May 13, 2018 Posts 124 Reaction score 38 Jul 14, 2018 Thread starter #6 ledada said: Kwa nini waweke? Click to expand... Aonekane wenye nia wajiridhishe...kwa anaejua masuala ya ndoa atajua nazungumzia nini
ledada said: Kwa nini waweke? Click to expand... Aonekane wenye nia wajiridhishe...kwa anaejua masuala ya ndoa atajua nazungumzia nini
0653400400 Senior Member Joined May 13, 2018 Posts 124 Reaction score 38 Jul 14, 2018 Thread starter #7 Nahisi WENGI wao hawajiamini na wamejawa na wasiwasi wa kukataliwa.....
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,342 Reaction score 12,066 Jul 14, 2018 #8 Mwambie hatupo
0653400400 Senior Member Joined May 13, 2018 Posts 124 Reaction score 38 Jul 14, 2018 Thread starter #9 kivyako said: Mwambie hatupo Click to expand... Sisi tupo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 170,450 Reaction score 188,572 Jul 14, 2018 #10 Pole sana... Kwa sababu wao siyo wa mapicha picha ni wa vitendo zaidi... Cc: mahondaw
0653400400 Senior Member Joined May 13, 2018 Posts 124 Reaction score 38 Jul 14, 2018 Thread starter #11 Smart911 said: Pole sana... Kwa sababu wao siyo wa mapicha picha ni wa vitendo zaidi... Cc: mahondaw Click to expand... Ukiona mtu anaficha kitu ni dalili ya kuwa kuficha ubovu...kina mashaka
Smart911 said: Pole sana... Kwa sababu wao siyo wa mapicha picha ni wa vitendo zaidi... Cc: mahondaw Click to expand... Ukiona mtu anaficha kitu ni dalili ya kuwa kuficha ubovu...kina mashaka
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 170,450 Reaction score 188,572 Jul 14, 2018 #12 0653400400 said: Ukiona mtu anaficha kitu ni dalili ya kuwa kuficha ubovu...kina mashaka Click to expand... Siyo dalili ya kuficha ubovu... ni namna ya kujiepusha na wenye nia ovu... Leo ataanzisha thread ya kutafuta mchumba na picha yake halisi, kesho ataanzisha thread ya kuikosoa serikali unajua kitachomkuta... Cc: mahondaw
0653400400 said: Ukiona mtu anaficha kitu ni dalili ya kuwa kuficha ubovu...kina mashaka Click to expand... Siyo dalili ya kuficha ubovu... ni namna ya kujiepusha na wenye nia ovu... Leo ataanzisha thread ya kutafuta mchumba na picha yake halisi, kesho ataanzisha thread ya kuikosoa serikali unajua kitachomkuta... Cc: mahondaw
Gyole JF-Expert Member Joined Sep 20, 2013 Posts 7,008 Reaction score 7,113 Jul 14, 2018 #13 Jamani wewe naniliuu Unataka picha za nini
0653400400 Senior Member Joined May 13, 2018 Posts 124 Reaction score 38 Jul 14, 2018 Thread starter #14 Smart911 said: Siyo dalili ya kuficha ubovu... ni namna ya kujiepusha na wenye nia ovu... Leo ataanzisha thread ya kutafuta mchumba na picha yake halisi, kesho ataanzisha thread ya kuikosoa serikali unajua kitachomkuta... Cc: mahondaw Click to expand... Unajua katika sisi binadamu kati ya wanaume na nwanamke tumegawana ladha. Mwanaume ladha yake ni kuona akapenda Mwanamke ni kusikia maneno...nadhani ushawishi wa haraka na uhakika ungepatikana kwa mwanaume baada ya kumuona na akashawishika..
Smart911 said: Siyo dalili ya kuficha ubovu... ni namna ya kujiepusha na wenye nia ovu... Leo ataanzisha thread ya kutafuta mchumba na picha yake halisi, kesho ataanzisha thread ya kuikosoa serikali unajua kitachomkuta... Cc: mahondaw Click to expand... Unajua katika sisi binadamu kati ya wanaume na nwanamke tumegawana ladha. Mwanaume ladha yake ni kuona akapenda Mwanamke ni kusikia maneno...nadhani ushawishi wa haraka na uhakika ungepatikana kwa mwanaume baada ya kumuona na akashawishika..
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,924 Reaction score 75,782 Jul 14, 2018 #15 Ukianza kuweka picha jf na whatsapp kazi yake nini?
0653400400 Senior Member Joined May 13, 2018 Posts 124 Reaction score 38 Jul 14, 2018 Thread starter #16 Castr said: Ukianza kuweka picha jf na wahtsapp kazi yake nini? Click to expand... Kabla ya kusema tafakali uzuli jombaa...naamini ujumbe wako ni wa kisimba na yanga Kumbuka jf kipo kipengele cha picha sijajua kazi yake ni nini
Castr said: Ukianza kuweka picha jf na wahtsapp kazi yake nini? Click to expand... Kabla ya kusema tafakali uzuli jombaa...naamini ujumbe wako ni wa kisimba na yanga Kumbuka jf kipo kipengele cha picha sijajua kazi yake ni nini
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,924 Reaction score 75,782 Jul 14, 2018 #17 0653400400 said: Kabla ya kusema tafakali uzuli jombaa...naamini ujumbe wako ni wa kisimba na yanga Kumbuka jf kipo kipengele cha picha sijajua kazi yake ni nini Click to expand... Hiko kipengele cha picha ushakuta mtu kaweka picha yake?
0653400400 said: Kabla ya kusema tafakali uzuli jombaa...naamini ujumbe wako ni wa kisimba na yanga Kumbuka jf kipo kipengele cha picha sijajua kazi yake ni nini Click to expand... Hiko kipengele cha picha ushakuta mtu kaweka picha yake?
0653400400 Senior Member Joined May 13, 2018 Posts 124 Reaction score 38 Jul 14, 2018 Thread starter #18 Castr said: Hiko kipengele cha picha ushakuta mtu kaweka picha yake? Click to expand... Kwa swali hilo uko upande wangu..na ndio maana nashangaa kwanini hakitumiki
Castr said: Hiko kipengele cha picha ushakuta mtu kaweka picha yake? Click to expand... Kwa swali hilo uko upande wangu..na ndio maana nashangaa kwanini hakitumiki
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,938 Reaction score 51,949 Jul 14, 2018 #19 Hiyo I'd ndio namba yako?
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,663 Reaction score 161,661 Jul 14, 2018 #20 0653400400 said: KWANINI WANAWAKE WENGI WANAOTAFUTA WACHUMBA JAMII FORUM HAWAWEKI PICHA ZAO? Click to expand... Waweke picha za nini?
0653400400 said: KWANINI WANAWAKE WENGI WANAOTAFUTA WACHUMBA JAMII FORUM HAWAWEKI PICHA ZAO? Click to expand... Waweke picha za nini?