miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Mzugumzaji ambaye ni kiongozi wa dini anazungumza kwa hisia sana.na anasema ya kwamba TUJIANDAE KWANI HATUJUI SIKU WALA SAA.........
Tumuombee kimoyo moyo....padre anasema
Mzugumzaji ambaye ni kiongozi wa dini anazungumza kwa hisia sana.na anasema ya kwamba TUJIANDAE KWANI HATUJUI SIKU WALA SAA.........
Mzugumzaji ambaye ni kiongozi wa dini anazungumza kwa hisia sana.na anasema ya kwamba TUJIANDAE KWANI HATUJUI SIKU WALA SAA.........
yaani aliijinamia sana aisee
Pole sana, lakini sababu ni dhahiri
asante, yani watu wema, wakweli, wasio na makuu, siku zote lazima wadhulumiwe...very sad!
kinachouma zaidi kesi zinakwenda muda mrefuuuuu....tukisahau zinazimwa kimya kimya.......
Amezungumza kwa hisia sana....RIP MVUNGIfr mbiku wa udsm
Pole s
ana, la
kini sababu ni dhahiri