Wekeni ITV IBADA YA KUMUAGA DK MVUNGI

Wekeni ITV IBADA YA KUMUAGA DK MVUNGI

Wakuu mvua kubwa inanyesha hapa mjin,waliopo hapo karimjee watupe mrejesho wa shughuli nzima ya kumwaga mpendwa wetu inaendeleaje.
 
Hakika kwa mara ya kwanza nmeshindwa kuzuia hisia zangu wakati nikfuatilia wasifu wa gwiji wa mageuzi Tz! Lala kwa amani dr Mvungi
 
Binadamu ni hatari.HATA MIMI RAFIKI YANGU ANAZIKIWA KAHAMA LEO KWA KUKATWA NA MAPANGA,AKIWA mwanafunzi CHUONI USHIRIKA MOSHI..binadamu hatuna imani
 
Mzugumzaji ambaye ni kiongozi wa dini anazungumza kwa hisia sana.na anasema ya kwamba TUJIANDAE KWANI HATUJUI SIKU WALA SAA.........
 
Back
Top Bottom