Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 409
wazazi tunajitahidi,
wanaolipiwa ada ndo hao siku ya mitihani wanaandika
hip-hop. sasa tuendelee kuwalipia au tukauke.
MTALINGOLO!
Headin' ya Thread yako nilipoiona tu!
MOYO wangu ukafanya
Ppuuuhh !
J'3 natakiwa nikalipe nusu ya fees iliyobaki , na vyanzo vinavyoniwezesha bado havijaniletea return inavyopaswa.
Nikasema huyu mtoa sredi kanichungulia au ? Aisey umeongea neno Sustainable pangekua na hapa kunachaguliwa Sred bora ya wiki
Kwa nini usingeramba VOTE yangu ! ?
wazazi tunajitahidi,
wanaolipiwa ada ndo hao siku ya mitihani wanaandika
hip-hop. sasa tuendelee kuwalipia au tukauke.
Yaani mie huwa nataka kupata hat atak nikipokea ripoti zao.
Ila sasa hivi nimebadili utaratibu
nakuwa mzazi na mwalimu
naanza kutoa weekly test, nimechoka kulipa ada ndefu afu return siioni kihivyo.
wazazi tunajitahidi,
wanaolipiwa ada ndo hao siku ya mitihani wanaandika
hip-hop. sasa tuendelee kuwalipia au tukauke.
Kwani unadhani hawafahamu kuwa elimu ndio urithi pekee ambao wanaweza kuwapa watoto wao? Achilia mbali wazazi wasio na uwezo. Kuna wazazi wengine ni matajiri lakini hawawapi watoto mahitaji ya shule. Kama huamini njoo nikusimulie story ya maisha yangu jinsi nilivyosoma na kuishi kama chokoraa na omba omba
Kuna mzazi m1 alimlipisha mwane hela yote aliomsomeshea tangia nursery.Yaani mie huwa nataka kupata hat atak nikipokea ripoti zao.
Ila sasa hivi nimebadili utaratibu
nakuwa mzazi na mwalimu
naanza kutoa weekly test, nimechoka kulipa ada ndefu afu return siioni kihivyo.
Pole sana mkuu kama ulipata taabu katika kupata elimu, waweza dondosha sread au imix hapahapa hyo story yako mkuu.
Sio katika kusoma tu mkuu. Maisha yangu yote nimeishi kwa shida shida. I wish ningeweza kuishusha but kama nikiishusha si nitajaza thread nzima
Nawashukuru wazazi wangu kwa namna walivojifunga mkanda kunifikisha hapa nilipo!mungu awape maisha marefu wafaidi matunda yangu!kusomesha sio mchezo nimewapokea kijiti kwakusomesha kitinda mimba wetu lol!nawapongeza wazee c mchezo!

Hngera kwkao wewe uliyebahatika kupewa elimu bora na wazazi wako. Wengine hatujabahatika kupata bahati kama yako
Naungana pamoja nawe katika kuwapa shukrani wazazi wote wanaojitoa kwa watoto wao kuwapatia elimu, mzazi wangu pia namwombea maisha mema, marefu na yenye baraka,
Yaani mie huwa nataka kupata hat atak nikipokea ripoti zao.
Ila sasa hivi nimebadili utaratibu
nakuwa mzazi na mwalimu
naanza kutoa weekly test, nimechoka kulipa ada ndefu afu return siioni kihivyo.