Weka utabiri wako top four NBC PL msimu wa mashindano 2025/26.

Weka utabiri wako top four NBC PL msimu wa mashindano 2025/26.

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
6,725
Reaction score
13,747
NBC PL msimu wa 2025/26 inaweza kuanza kutimua vumbi mnamo mwishoni mwa mwezi wa nane au mwanzoni mwa mwezi wa 9

Huku vilabu vikubwa vitatu, YANGA, SIMBA na Azam vikipigana vikumbo ktk maandalizi wa msimu huo mpya wa mashindano.

Uzi huu ni wa kubashiri timu zitakazokuwa nne za juu pindi ligi itakapomalizika.

kwa upande wangu top four ya msimu ujao wa ligi ya NBC ni kama ifuatavyo na haitabadilika
1. YOUNG AFRICANS SC

2. SIMBA SC

3. AZAM FC

4. SINGIDA BS FC

Weka top four yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom