ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
MUBASHARA NI LIVEDuh! Hizi lugha za mjini ni hatari, binafsi nimeelewa machache sana humu. Hivi "mubashara" maana yake nini, na limeibukia wapi? Naliona ona sana lately.
VYA KUIBA HAVIFAI MKUU ACHANA NAVYOWe lady acha tu hivyo vya kuiba vilivyovitam aki ya naniiii
Ladyf majibu.....Kwani urojo wa sembe ndoo nini?
Mkuu that is how the majority of us feel when we read your topics.Duh! Hizi lugha za mjini ni hatari, binafsi nimeelewa machache sana humu. Hivi "mubashara" maana yake nini, na limeibukia wapi? Naliona ona sana lately.
MUBASHARA NI LIVE
Mkuu that is how the majority of us feel when we read your topics.
anajua huyo anataka kuleta mchecheto tu hapa hahahahaaaLadyf majibu.....
nataka kuonana nawe mubasharaDuh! Hizi lugha za mjini ni hatari, binafsi nimeelewa machache sana humu. Hivi "mubashara" maana yake nini, na limeibukia wapi? Naliona ona sana lately.
[emoji4][emoji4]anajua huyo anataka kuleta mchecheto tu hapa hahahahaaa