Wenye uwezo wa kununua mchele kwa 2400/- hawahitaji kuagiza Mbeya, kwa bei hiyo hiyo au pungufu wanachagua huko huko Dasilamu mchele saaaafi kabisa kwa kujiridhisha machoni kwao.... huenda Mbeya mchele ni ghali kuliko dasilamu.