Kuna picha moja kuna dogo alienda kununua maji kwenye shop akaanza kugawia awa askari waliokua wamesimama kweny jua kali, wakisubiri kupiga riot ..very emotional
Wakenya tunawaoneaga huruma sana hawa polisi wetu, kama ndugu zetu. Lakini kwao kulipua hayo mabomu ya mchozi katikati ya umati ni rahaaa kama vile tu nyani akikalia mkia wake. Shenz kabisa!