Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,922
Unaweza kuwa mzuri na mwenye fadhili na bado ukasema HAPANA kwa watu.
Neno HAPANA ni sentensi kamili inayojieleza. Hauhitaji ueleze kwanini hautalala na mtu asiye mume ama mke wako.
Sio lazima uelezee kwa nini hutakaribisha mtu.
Kuweka mipaka kunategemea kujiheshimu.
Watu wanaojiheshimu hawawezi kuvumilia unyanyasaji na mahusiano ya nje ya ndoa.
Ukosefu wa mipaka huleta ukosefu wa heshima.
Kuweka mipaka huwafanya wengine wajue wewe ni nani na unathamini nini.
Mipaka inahitaji kuwasilishwa kwanza kwa maneno na kisha kwa vitendo. Kiukweli "No one will listen to you until you listen to yourself"
Never feed anyone's ego. Wajulishe walio karibu nawe ni nini kilicho chao na kile kilicho chako.
Ikiwa mtu atachukizwa na mipaka yako ya kibinafsi, basi utakuwa na sababu kamili ya kujenga mipaka thabiti.
Don't compromise yourself - wewe ni kila kitu ulicho nacho. Kamwe usionewe ukae kimya. Haya ndiyo maisha pekee uliyonayo. Kuwa na uthubutu, kwa maneno na kwa vitendo. Ongea kwa sauti yako mwenyewe juu ya kile ambacho ni muhimu kwako.
Ubarikiwe.