Ok9
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,556
- 4,162
Siku moja majambazi yamevamia nyumbani kwako,
Baada ya kuchukuwa kila walichukuwa wanakihitaji wakakupatia bunduki ili umuue mkeo.
Kwaharaka ukapiga magoti kwa unyenyekevu ukiwasihi wakuwie radhi kwani huwezi kumuua mkeo sababu unampenda.
Kwahasira wakakunyang'anya bunduki na kumpatia mkeo,chapchap mkeo akakamata mtutu na kuifyatua risasi kwa bahati mbaya hakukua na risasi hata moja.
Wakacheka sana na kisha kutokomea gizani.
Swali:
1.Ikiwa wewe ndio mwanamume huyo utafanyaje?
2.Ikiwa wewe ndio mwanamke huyo utafanyaje?