Weka maneno kwenye picha....

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
2,454
Reaction score
975
Mimi naanza kwa kuweka maneno...

Kinana: '..ukiniteua kuwa waziri mkuu mwaka 2015, nitaota kitambi mpaka hapa...!!'
Lowassa anajibu kwa kushangaa: '..Haaa !! wacha we....!!'

 
Honestly I know nothing about politics...nakaa pembeni

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mimi hawa watu wa Mkoa wa Arusha hata siwapendi
nisijechangia nikaanza fuatwa
Napita huo ndio mchango wangu
 
Tuimege ile ardhi Loliondo mpaka hapa karibu na bonde, then inayobaki tuwaachie wapunguze kelele..!
 
Dalili na ishara zote zinaelekeza hivi:- Tuwagawe hawa raia ili tuweze kuwatawala...(divide and rule)!!
 
Meno ya tembo yako mbele,sio rahisi tenbo kuingia kwenye ndege mzima mzima.kinachofanyika ni kuchop meno yote mawili,then mkonga unaweza ukaukunja hivi.
 
Tumeishaamua kuwa wewe jina lako halitapitishwa kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama chetu!!
 
Nahisi hali ya white hair hairidhishi,sasa na hizo kampeni zake za chinichini kuelekea 2015 atazimudu kweli?
 
CCM tunakoelekea sio kuzuri si unaona mwenyewe wote walio upande wako wanasakamwa mpaka basi. sijui tufanye mikakati gani kuweka mambo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…