Weka kipaumbele kwa mambo yajayo

Weka kipaumbele kwa mambo yajayo

Hao wachache watakaosoma watawaambia na wenzao kwani ni kitu chema na wao kujua ila naomba umwambie huyu ...................... kuwa sipendi kumuvuzisha jumbe zangu kwanini lakini?
Ujumbe mzuri sana huu, lakini nasikitika kwamba, utasomwa na wadau wachache kwa sababu watu humu hawapendi ilmu ya namna hii, bali mambo ya kungonoka tuuuu...
 
its true baby wanaweka focus yao kwa mambo ya kipuuzi kabisa
Aidha define na u'describe your goals mapema.
Ask yourself "what can i do today to get one hatua mbele, however small, closer to achievin the goals you programed!
Stay tuned , focused and believe in yourself evenif others do not believe in you!.
Set challengin and inspirin the goals. Na hao wawekao kipaumbele mapenzi , ndiyo wako wengi kuliko sie tusio kua kundi hilo.
 
kwani nina cha kuongezea hapa umetoa comment flesh kabisa
Kuna msemo,ukitaka kumficha muafrica kitu basi kifiche ktk kitabu,kuna watu ukiwauliza Kikwete amesafiri mara ngapi kwenda nje ya nchi atakupa jibu ila ukimuuliza umesoma vitabu vingapi toka mwaka uanze,hatojibu,ila suala la ufisadi etc ,let us change our selves ndio tuwabadilishe wengine,Big up lady
 
nimefurahi kuona hata wewe my bro umenikubali na nimefurahi kuona umeacha ndofyuu, ila punguza kule eti huyu chocs ndo yule uliyemleta home siku ile?
Weeee hebu usiharibu upako wangu...niko nagonga redbull hapa. ladyfurahiavhmenigusa sana aisee
 
Dah.. ladyfurahia mi sikufichi.. but sijasoma huo waraka aisee.... dah.. more than 100000000 letters bure bure... unalnilipa? But like yako nimekupa bhana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom