Inategemea unakulaje.Hii inahusu kula ndani ya lisaa limoja na kuacha kula ndani ya masaa 23. Hivyo kwa siku moja unakula mara moja. Ni njia mojawapo nzuri sana ya kupunguza uzito uliokithiri lakini pia ina faida nyingi ikiwemo clear mind, improving attitude, raising self esteem na kadhalika.
Nasubiri niende mbinguni nikapewe mwili mpya😆😆Heaven Sent hizo kilo 134 una mpango gani nazo?
Exactly na ndo maana nikasema panahitaji discipline katika body maintenance. Mpaka mtu kuianza hii lifestyle ameona enough is enough. Hata kula unaposikia njaa started somewhere so hata OMAD pia inaanza somewhere i mean right now right here.Inategemea unakulaje.
Kuna watu wanakula mara tatu lakini kila mlo wanakkula robo ya chakula,hivyo mila mitatu ni nusu na robo au robo tatu.
Kuna mtu atakula mlo mmoja lakini atapiga kilo moja nzima manake huyu mlo mmoja wake haumsaidii kitu.
Hio njia sio fanisi kwa sababu kama unataka kupungua milele basi unatakiwa uchague njia ambayo unaweza kudumu nayo milele.
Hakuna mtu ataweza kula 1hr kisha masaa 23 afunge hakuna mtu huyo.
Hivyo utafanya kwa muda na utaacha,na hivyo hivyo unene utaondoka kwa muda na ukirudi kwenye maisha ya kawaida unene utarudi.
Kama utaweza isooookeeee
Cha kufanya kwanza unatakiwa ufuate formula MOJA TU.
FORMULA NI MOJA TU
NI MOJA TU
NI MOJA TU.
.nayo ni KULA UNAPOJISIKIA NJAA NA USILE UKAJAZA TUMBO,KULA KIASI TU.
ukijisikia njaa mara 10 kwa siku basi kula mara kumi.
Ukijisikia njaa mara moja kwa siku basi kula mara moja tu.
Kama hujisikii njaa basi usile au kunywa zako maji au juisi kwa kujiburidisha tu.
Na hii pia hakikisha unaifata maisha yako yote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nasubiri niende mbinguni nikapewe mwili mpya[emoji38][emoji38]
100 hadi 65? Hongera sana.Laiti tungekua tunajua kupunuza mwili ilivyo kazi tungepambana sana kujitunza tusinenepe kupitiliza
Nilikua 55 nkafika 100 sasa nimetoka 100 hadi 65 [emoji123]
Bila kutumia madawa au hizo wanazoita suppliments
Hawajala vizuri aisee.Wengine hata wale nini hawafikii ule mwili wa kuitwa bonge
InawezekanaHawajala vizuri aisee.
Mimi nilikuwa mwembamba. Watu wanaogopa kula viepe watapata vitambi ila mimi nilikuwa nakula kila siku hamna kitambi.
Siku nimekuja kufumuka. Kila ninayekutana naye anasema "hakika hamna mtu mwembamba".
Sante kwa suggestionNjia bora ninayoina ni kufanya Banting - kuna
Facebook group hasa za wa South Africa/ pia unaweza pitia YouTube kwa kusearch Banting ni njni?
Simshauri mtu kushinda njaa kwaajili ya kupunguza uzito...!! Hii haitafanya kazi in the long term ,bali badilisha mfumo wako wa maisha hasa kwenye vyakula unavyokula.
Mfano Banting wana aina ya vyakula vipo kwenye groups ambavyo unapaswa kula ilikuspeed up process ya kupunguza uzito na sio kushinda njaa !!.
Sipo deep sana kwenye hilo ila unaweza fanya research mwenyewe kwa YouTube na hio facebook group ina members wengi wanaotoa ushuhuda kwa kupunguza uzito japo kuwa wanakula milo mitatu kamili na kushiba kabisa!!
Kwenye Banting mfano vyakula vya carbohydrates hawali kabisa labda vyenye low carbs.
Wanakula zaidi protein na healthy fat na
Fiber na vitamin basi
Aslimia kubwa hjku bongo asbh hadijioni ni wanga tu tunakula hii inapelekea ongezeka la sukari mwilini kutokana na ufanyaji kazi wa insulin hence .. mwili kuongezeka uzito..
Vyema mkuu!! Shukrani kwa taarifaSante kwa suggestion
Haya ni maoni yako nayaheshimu. Lakini lengo la kuandika uzi huu ni kwa ajili ya kuinform watu kama wanaweza wakabadilisha lifestyle na kuanza kufanya OMAD.
Narudia OMAD is a lifestyle na sio diet. Ukiifanya kama diet be sure utarudi kulekule baada ya kumaliza diet yako. Lakini ikiwa ni mtindo wa maisha itakusaidia kupunguza gharama ya chakula meaning kusave hela na pia kuna benefits nyingi ziko katika websites mbalinbali.
Sijamlimit mtu kama unaweza fanya hiyo bant sijui what well and good. Lengo ni lets all do something for the goodness of our bodies and sound mind..
Good question.Vipi water therapy? Inasaidia? Nimesikia kuna hiyo water therapy ambayo unaweza kupanga katika mwezi mmoja, unaweza kunywa maji au liquids pekee yake kwa siku tatu hivi, bila kula solids. Hii inasaidia kupunguza unene na kuondoa taxins mwilini. Kuna aliyewahi fanya hii? Is it working? Nataka kupunguza uzito kiasi in about a month time niweze pendeza kwenye harusi ya rafiki yangu. Nina kitambi ambacho sipendi kabisa
C mbaya ukaiwakilisha hapa... utasaidiaLaiti tungekua tunajua kupunuza mwili ilivyo kazi tungepambana sana kujitunza tusinenepe kupitiliza
Nilikua 55 nkafika 100 sasa nimetoka 100 hadi 65 [emoji123]
Bila kutumia madawa au hizo wanazoita suppliments