Arien JF-Expert Member Joined Aug 29, 2017 Posts 11,245 Reaction score 11,780 Mar 5, 2018 #161 Mzigua90 said: Basi itakua niko kwenye hiyo situation Click to expand... sometimes kupumzika ni muhimu pia ujue..
Mzigua90 said: Basi itakua niko kwenye hiyo situation Click to expand... sometimes kupumzika ni muhimu pia ujue..
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,928 Reaction score 92,149 Mar 5, 2018 #162 Mzigua90 said: Hahahahahaa. Click to expand... Tuma tena ,nione uumbaji watu wanaosifia
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,928 Reaction score 92,149 Mar 5, 2018 #163 Mzigua90 said: Yaani ya blue haswaa Click to expand... Hahahaha, kivipi?
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,398 Reaction score 88,843 Mar 5, 2018 Thread starter #164 ArIeN said: sometimes kupumzika ni muhimu pia ujue.. Click to expand... Nimepumzika sana mwezi huu. Karibia mwezi wote huu sijatoka
ArIeN said: sometimes kupumzika ni muhimu pia ujue.. Click to expand... Nimepumzika sana mwezi huu. Karibia mwezi wote huu sijatoka
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,398 Reaction score 88,843 Mar 5, 2018 Thread starter #165 mtu chake said: Hahahaha, kivipi? Click to expand... Hangover
Arien JF-Expert Member Joined Aug 29, 2017 Posts 11,245 Reaction score 11,780 Mar 5, 2018 #166 Mzigua90 said: Nimepumzika sana mwezi huu. Karibia mwezi wote huu sijatoka Click to expand... doh hongera sana.. na mimi ngoja niige.
Mzigua90 said: Nimepumzika sana mwezi huu. Karibia mwezi wote huu sijatoka Click to expand... doh hongera sana.. na mimi ngoja niige.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,928 Reaction score 92,149 Mar 5, 2018 #167 Mzigua90 said: Hangover Click to expand... Pata mchemsho au kongoro kuuuubwaa
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,857 Reaction score 106,753 Mar 5, 2018 #168 Mzigua90 said: Enheee Click to expand... Umenoga mtoto, . Mate yanimwaika mie.
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,398 Reaction score 88,843 Mar 5, 2018 Thread starter #169 ArIeN said: doh hongera sana.. na mimi ngoja niige. Click to expand... Mi unadhani nafanya kwa mapenzi yangu sasa? Uchumi ndo unanifanyisha kwa lazima
ArIeN said: doh hongera sana.. na mimi ngoja niige. Click to expand... Mi unadhani nafanya kwa mapenzi yangu sasa? Uchumi ndo unanifanyisha kwa lazima
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,398 Reaction score 88,843 Mar 5, 2018 Thread starter #170 mtu chake said: Pata mchemsho au kongoro kuuuubwaa Click to expand... Kuanzia jumatatu mpaka ijumaa mchana ni siku za diet. Hapa naenda kunywa maji mpaka utumbo uelee.
mtu chake said: Pata mchemsho au kongoro kuuuubwaa Click to expand... Kuanzia jumatatu mpaka ijumaa mchana ni siku za diet. Hapa naenda kunywa maji mpaka utumbo uelee.
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,398 Reaction score 88,843 Mar 5, 2018 Thread starter #171 makaveli10 said: Umenoga mtoto, . Mate yanimwaika mie. Click to expand... Yasikumwagike nakujia Kigamboni leo
makaveli10 said: Umenoga mtoto, . Mate yanimwaika mie. Click to expand... Yasikumwagike nakujia Kigamboni leo
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,928 Reaction score 92,149 Mar 5, 2018 #172 Mzigua90 said: Kuanzia jumatatu mpaka ijumaa mchana ni siku za diet. Hapa naenda kunywa maji mpaka utumbo uelee. Click to expand... Hahahaha, safi sana
Mzigua90 said: Kuanzia jumatatu mpaka ijumaa mchana ni siku za diet. Hapa naenda kunywa maji mpaka utumbo uelee. Click to expand... Hahahaha, safi sana
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,185 Reaction score 7,372 Mar 5, 2018 #173 Mzigua90 said: Issa Weekend. Click to expand... Sanamu la Michellin, silitaki.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,857 Reaction score 106,753 Mar 5, 2018 #174 Mzigua90 said: Yasikumwagike nakujia Kigamboni leo Click to expand... Hahaa.. uje niringe, halafu siko kigamboni niko mitaa ya kwenu huku. Tungeonana tukapata hata msosi na vinywaji ingekuwa poa zaidi.
Mzigua90 said: Yasikumwagike nakujia Kigamboni leo Click to expand... Hahaa.. uje niringe, halafu siko kigamboni niko mitaa ya kwenu huku. Tungeonana tukapata hata msosi na vinywaji ingekuwa poa zaidi.
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,398 Reaction score 88,843 Mar 5, 2018 Thread starter #175 Jamaa_Mbishi said: Sanamu la Michellin, silitaki. Click to expand... Kwani umeambiwa ye anakutaka.
Arien JF-Expert Member Joined Aug 29, 2017 Posts 11,245 Reaction score 11,780 Mar 5, 2018 #176 Mzigua90 said: Mi unadhani nafanya kwa mapenzi yangu sasa? Uchumi ndo unanifanyisha kwa lazima Click to expand... πππ ndo vizuri uchumi ukija kukaa uzuri unakuwa unahamu kweliπ
Mzigua90 said: Mi unadhani nafanya kwa mapenzi yangu sasa? Uchumi ndo unanifanyisha kwa lazima Click to expand... πππ ndo vizuri uchumi ukija kukaa uzuri unakuwa unahamu kweliπ
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,928 Reaction score 92,149 Mar 5, 2018 #177 Mzigua90 said: Issa Weekend. Click to expand... Naam hivi ndio vitu mie nataka, hapa hata kugharamia lunch,dinner huoni hasara
Mzigua90 said: Issa Weekend. Click to expand... Naam hivi ndio vitu mie nataka, hapa hata kugharamia lunch,dinner huoni hasara
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,857 Reaction score 106,753 Mar 5, 2018 #178 Mzigua90 said: Yasikumwagike nakujia Kigamboni leo Click to expand... Nimechomoka kigamboni mara moja, leo mipo mitaa ya kwenu.. fanya mpango tuonane tupate walau kinywaji.
Mzigua90 said: Yasikumwagike nakujia Kigamboni leo Click to expand... Nimechomoka kigamboni mara moja, leo mipo mitaa ya kwenu.. fanya mpango tuonane tupate walau kinywaji.
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,398 Reaction score 88,843 Mar 5, 2018 Thread starter #179 makaveli10 said: Hahaa.. uje niringe, halafu siko kigamboni niko mitaa ya kwenu huku. Tungeonana tukapata hata msosi na vinywaji ingekuwa poa zaidi. Click to expand... Jiandae kuringa sasa.
makaveli10 said: Hahaa.. uje niringe, halafu siko kigamboni niko mitaa ya kwenu huku. Tungeonana tukapata hata msosi na vinywaji ingekuwa poa zaidi. Click to expand... Jiandae kuringa sasa.
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,891 Reaction score 52,461 Mar 5, 2018 #180 Ooh mambo ni moto Mi nikikaa kwenye hicho kiti nyama nyama huwa zinatokeza kwa nje Naonaga bora nikalie bench
Ooh mambo ni moto Mi nikikaa kwenye hicho kiti nyama nyama huwa zinatokeza kwa nje Naonaga bora nikalie bench