Weekend

Asante mkuu wa orodha kwa ufafanuzi.
 
Yaan The List sisi tulikuwa tunakataa kabisa sio wewe usingeweza kututukana ambao hatuna tatizo na wewe yule mtu ana matusi alikuwa anakuja mpaka kwenye hii thread kututukana
 
Kupendeza tuu. Huoni mie niko kawaida sana hapo. Kukaa na wanaume wa mjini haki kunaniharibu. Najikuta nimewaozea kiasi ambacho naacha kuwa kama mdada
Af mbona huna tumbo la bia kama wanawake wengine ambao wanakunywa??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…