Unajua sijui kwanini mnasema tunapenda hela sio hela tunapenda ule muda tupo pamoja ndio muda wakuweza kusema shida zako maana ndio anamuda hapo.
Sasa tufanyaje?
Ila hata kama ni nyie sinaninyi mnasemaga kwa wake zenu au wapenzi hapo pia kwa hiyo tusilaumiane tusaidiane tu.