Weekend ushauri

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,761
Za weekend mpo?
Tujalini kitu gani kinakufanya udumu na umpendaye kwa muda mrefu.??
Nini ambacho mtu asifanye ili asimkwaze mwingine?
Nikwanini tukiwaomba pesa mnalalamika mnataka tumuombe nani?
Je wapenzi wakiachana nini shida?
Karibuni tujadili
 
Pesa ni zangu kutoa ni moyo
Kudumu na mpenzi lazima uwe mdadisi kujua kuwa anapenda nini na nini hapendi
Kuachana ni sehemu ya hatua ya mapenzi kuelekea kukomaa zaidi
 
1. Heshima, uaminifu, upendo wa dhati
2. Usifanye usichopenda kufanyiwa
3.Wanaume sio ATM na nyie sio vyombo vya kutumiwa na mapenzi sio biashara
4. Hakunaga shida kuachana mbona kawaida.
 
Unania ya kuharibu mapenzi ya wapendanao mpaka unakuja kutafuta ujuzi ili uvunje mawasiliano ya watu



Teh
 
1. Heshima, uaminifu, upendo wa dhati
2. Usifanye usichopenda kufanyiwa
3.Wanaume sio ATM na nyie sio vyombo vya kutumiwa na mapenzi sio biashara
4. Hakunaga shida kuachana mbona kawaida.
Ni kweli kwamba namba 1.
Ila vingine sikubalii
 
Sinania ya kuwaharibia jamani mtu eh nauliza nielewe tu chakufanya nachakutofanya sio kazi kumpa mtu mawaidha
 
kasema hakubali.

waache waliwe tu.
Ila ngoja mapenzi ukiwa na upendo huwezi kutompa mpenzi wako nauli.
Siku moja moja outing siku ingine mnachill home tu mncheck movies nakubadilishana mawazo ila kutomsaidi mpenzi wako sio fresh simaanishi nisisi tu wote kusaidiana pale mti akiwa na hitaji.
Sijamaanisha kila tendo naomba hela nibiashara ila kumpa nauli naukaonelea nakumwambia anunue kitu kizuri sio mbaya ni mpenzi wakoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…