Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

We mwanamke mbona unapenda kunitesa na story zako hizi za kichokozi?
 
 
Hii video itakapo kuja kuvuja akili zitawakaa sawa.
Halafu nina wasiwasi na viv asijemtumoa Dr hizi picha maana....
Ila bibi T nuksi eti anamfuatilia kwa ukaribu hahaa
 
[emoji28][emoji28][emoji28] bibi T hana maana kabisa. Anapiga doria maisha ya mjukuu.
Thank you Lara 1 [emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bibi T bana etii... Nakuona nakuona unajisevia tu nyuchi!!
 
Dah! Manineer!

Yani hata kunishtua mkaona nitafaidi sana sio?

Nimekuja sasa mjeda mwenyewe.

Alafu Lara 1 fanya mpango unitumie hako ka video ka mjeda na queen V kama kameshavuja!

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

I missed you guys!
 
Nimemkumbuka mjeda ghafla

Mjeda popote ulipō njoo nikutunuku japo kimoja cha ukumbusho.
Wajeda tupo wengi, kua specific mjeda yupi?

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Post #93 nilikuita jamani MOTP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…