Weekend story! BEN 10

Jane mafia hadi nimempenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daaaah KR kafanya surgery ya uso kawa mzungu piwa anamtrack KYLE bila yeye kujua ni kwavile anamupenda sana,
sasa Hans ameachiwa mtoto si atamvutisha mibangE LINDA kyle anataka wapeane zamu ya kulea mtoto, huko masomoni subiri aanze kuisoma namba maana Ghost lazima amwage kwa ungese wake
 
Mme unatabu sana wewe kwani ma fekero yangu huyajui jamani, halafu huyu Shunie ni dada wa wewe tangu liniπŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
anawenge Sana.. Halaf yupo kwa kudonyoa humu au sijui Ana I'd nyingine... Akili zake hamtofautiani kabisa. Fake P

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha huyu namjua jamani kwahiyo ndio wizo eenh hahah huyu akili zake anazijua mwenyewe wifiiiiiii sisi ndio wifi zako tupo watatu
 
Hahahaha huyu namjua jamani kwahiyo ndio wizo eenh hahah huyu akili zake anazijua mwenyewe wifiiiiiii sisi ndio with zako tupo watatu

mmmmh! Word anamengi tatizo muongo muongo mpaka nimwamini he must go extra mile with full of evidence..my wizo mpo watatu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nani wengine niwajue wote kabisa
 
Hawa wahusika katika hii series ya Producer lara 1 imecover maisha ya hadhira kubwa sana, mimi sijawahi ku deal na drugs ila mimi niko sana upande wa ghost na sam na kr nusu nusu baadhi tabia zao zina reflect maisha yangu kabisa aubmaisha niliyopitia

Nikipenda i can spoil u
Biashara = 100%
Kuzaa nje 100%
Kutoonekana hata maisha yote 100%
Kulelewa 100%
Kulea na kuhonga 150%
Wanawake wababe 100%
Kamari 100%
Utapeli wa kawaida 10%
Quick solutions 200%


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…