Weekend story! BEN 10

Stori zako Lara1 zinanipa raha sana. Big up.
 
Hulali usingizi wa kutosha Mkuu, kila dakika tano unchungulia JF kuona kama lara kafanikisha ama vipi nawasi wasi umevaa uhusika wa mmoja kati ya hawa characters mkuu.

Tehteh... hapana mkuu nivile tu mimi ni long time shabiki tena mkubwa sana wa KLM nivile tu Sina uwezo kama MOTP kapuku mie mbona ningepanda dau walahi .. sihusiki hata chembe na ni kweli kazi haziendi vizuri hukuu kila saa nachungulia.

cc Smart911
 
Hulali usingizi wa kutosha Mkuu, kila dakika tano unchungulia JF kuona kama lara kafanikisha ama vipi nawasi wasi umevaa uhusika wa mmoja kati ya hawa characters mkuu.

Afu mi ombaomba tu mshamba fulani hivi wabushiiiiiii... maisha ya hao wahusika mi bado sana Smart911 shahidi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…