Weekend story! BEN 10

RIP Linda, Ghost mazafanta hafai ni muuaji😢😢😢
 
Nakuita mara tatu...Lara1,Lara1,Lara1....NIPE HIYO NEXT EPISODE NIISOME YOOOTE POPOTE!
 
Daah jina language cjaliona
 
Ila Sam bwege kweli
Ndio nn kumkosesha mwenzie laki3
 
Daahh masikini maisha yamewala tigo . So sad aisee
 
Acha pressure! Hearly anajua Smart ni mdada alieliwa Moro. It's awkward n funny that anadhani ni mdada! Smart Punguza umama
Hahaha nilikuwa namkusudia @ mahandow bwana " na sio smart . Na mahondaw mwenyewe alisha nijibu "..
 
Uko pm ndio wapi na kuna nn hearly jamani
Shunie nina shida mwenzio ujue "... au wataka mpaka nihadhirike humu " nia yako Moyo wangu ubabuke eehh "!! Nichek pm bwana kuna jambo nataka kukuuliza
 
Maisha yakiamua ukugeuka utajifunza kuwa hakuna linloshindikana hata kama ni tako mtu unatoa tu. Kyle alomchoma Kisu Hans leo anaomba mwenyewe kubeba unga aiseee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…