Weekend story! BEN 10

Lara1 umebarikiwa
 
Ila mjeda mngese sana anakubali vipi kiwa witness wa linda ilhali anamjua linda ni komando kipensi?
Halafu hans alimfanya nin kyle mbona bado sijaelewa?

Lakini wanawake na sisi sijui tukoje,hivi unajua kabisa jamaa anamkula rafiki yako na wewe unajipeleka hapo hapo.
 
Hakuna kitu naheshimu kama mahusiano ya watu kwakweli
Oooh basi upo vizuri sana. God akujarie upate mtu stahiki....usije ukapata paka, akakulalua lalua. Kisha na wewe ukageuka kuwa jipaka kama hawa wenzako....

Maana 90% ya wanawake wa namna hiyo, ni wale waliojeruiwa katika kipindi cha mahusiano yao ya mwanzo....hivyo ufanya hivyo kama njia ya kufuta maumivu yao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…